Ila wewe unauhitaji katika muda wa kuchelewa saaanaKila kitu kinajionyesha wazi kua muungwana anapitia msongo wa mawazo wa kiwango kibaya zaidi, na binafsi yangu napendekeza apatiwe usaidizi wa mapema hasa wa kisaikolojia. Na kwa hulka yake ya kujimwambafai na kufurahisha wafuasi wake na public kwa ujumla, anaweza kuadai kwamba yupo fiti kalikiti na matokeo yake anaweza kujiweka kwenye hali hatari na mbaya kabisa kisaikolojia.
Ndugu wadau, sote ni mashuhuda,
ukitazama appearance ya gwajima utagundua kitu, ukitazama facial expressions zake, tones zake na body language kwa ujumla vinadhihirisha na kuthibitisha wazi kwamba muungwana alikua anapitia na bado anapitia changamoto fulani nzito mbaya sana za kibinafsi, sio tu za kisaikolojia bali pia kiroho na kimwili zilizomfanya kupoteza kabisa nuru na haiba yake ya bashasha na ujasiri iliyozoeleka anapotokea kuzungumza na umma.
Gwajima amepooza, gwajima kawa mpole isivyokawaida.
Ikimpendeza,
apate likizo kwenye mazingira mapya ya walau hata 3months huenda akanusurika hasa kisaikolojia, vinginevyo akishupaza shingo, mambo inaweza kua mabaya zaidi.
Askofu anaugonjwa wa chuki binafsi against Rais.Ana ugonjwa wa udini na ugombanishiKila kitu kinajionyesha wazi kua muungwana anapitia msongo wa mawazo wa kiwango kibaya zaidi, na binafsi yangu napendekeza apatiwe usaidizi wa mapema hasa wa kisaikolojia. Na kwa hulka yake ya kujimwambafai na kufurahisha wafuasi wake na public kwa ujumla, anaweza kuadai kwamba yupo fiti kalikiti na matokeo yake anaweza kujiweka kwenye hali hatari na mbaya kabisa kisaikolojia.
Ndugu wadau, sote ni mashuhuda,
ukitazama appearance ya gwajima utagundua kitu, ukitazama facial expressions zake, tones zake na body language kwa ujumla vinadhihirisha na kuthibitisha wazi kwamba muungwana alikua anapitia na bado anapitia changamoto fulani nzito mbaya sana za kibinafsi, sio tu za kisaikolojia bali pia kiroho na kimwili zilizomfanya kupoteza kabisa nuru na haiba yake ya bashasha na ujasiri iliyozoeleka anapotokea kuzungumza na umma.
Gwajima amepooza, gwajima kawa mpole isivyokawaida.
Ikimpendeza,
apate likizo kwenye mazingira mapya ya walau hata 3months huenda akanusurika hasa kisaikolojia, vinginevyo akishupaza shingo, mambo inaweza kua mabaya zaidi.
Naona dawa imewaingia vizuri na yule mtu wenu anayefungia makanisa.Kila kitu kinajionyesha wazi kua muungwana anapitia msongo wa mawazo wa kiwango kibaya zaidi, na binafsi yangu napendekeza apatiwe usaidizi wa mapema hasa wa kisaikolojia. Na kwa hulka yake ya kujimwambafai na kufurahisha wafuasi wake na public kwa ujumla, anaweza kuadai kwamba yupo fiti kalikiti na matokeo yake anaweza kujiweka kwenye hali hatari na mbaya kabisa kisaikolojia.
Ndugu wadau, sote ni mashuhuda,
ukitazama appearance ya gwajima utagundua kitu, ukitazama facial expressions zake, tones zake na body language kwa ujumla vinadhihirisha na kuthibitisha wazi kwamba muungwana alikua anapitia na bado anapitia changamoto fulani nzito mbaya sana za kibinafsi, sio tu za kisaikolojia bali pia kiroho na kimwili zilizomfanya kupoteza kabisa nuru na haiba yake ya bashasha na ujasiri iliyozoeleka anapotokea kuzungumza na umma.
Gwajima amepooza, gwajima kawa mpole isivyokawaida.
Ikimpendeza,
apate likizo kwenye mazingira mapya ya walau hata 3months huenda akanusurika hasa kisaikolojia, vinginevyo akishupaza shingo, mambo inaweza kua mabaya zaidi.
Ana ugomvi na watekaji. Sasa sijui una maana gani hapo juuAskofu anaugonjwa wa chuki binafsi against Rais.Ana ugonjwa wa udini na ugombanishi
Ila nyie mna mapenzi yasiyopimika kwa taifa msiache kusema hivyo na mtembee kifua mberee bila kumsahau Lucas na genge lake.Askofu anaugonjwa wa chuki binafsi against Rais.Ana ugonjwa wa udini na ugombanishi
Kwa kweli ,tena anatakiwa apelekwe Milembe faster na Treni ya mwendo kasiIla wewe unauhitaji katika muda wa kuchelewa saaana
Anatapatapa. Hajui pa kushikia. Magwajima yasirudi bungeni. Mbunge wa mchongo wa Mwendazake. Alipendelewa, lakini bahati haiji mara mbili.Kila kitu kinajionyesha wazi kua muungwana anapitia msongo wa mawazo wa kiwango kibaya zaidi, na binafsi yangu napendekeza apatiwe usaidizi wa mapema hasa wa kisaikolojia. Na kwa hulka yake ya kujimwambafai na kufurahisha wafuasi wake na public kwa ujumla, anaweza kuadai kwamba yupo fiti kalikiti na matokeo yake anaweza kujiweka kwenye hali hatari na mbaya kabisa kisaikolojia.
Ndugu wadau, sote ni mashuhuda,
ukitazama appearance ya gwajima utagundua kitu, ukitazama facial expressions zake, tones zake na body language kwa ujumla vinadhihirisha na kuthibitisha wazi kwamba muungwana alikua anapitia na bado anapitia changamoto fulani nzito mbaya sana za kibinafsi, sio tu za kisaikolojia bali pia kiroho na kimwili zilizomfanya kupoteza kabisa nuru na haiba yake ya bashasha na ujasiri iliyozoeleka anapotokea kuzungumza na umma.
Gwajima amepooza, gwajima kawa mpole isivyokawaida.
Ikimpendeza,
apate likizo kwenye mazingira mapya ya walau hata 3months huenda akanusurika hasa kisaikolojia, vinginevyo akishupaza shingo, mambo inaweza kua mabaya zaidi.
Hahaha haaaaaa! Treni ya mwendokasi tena!Kwa kweli ,tena anatakiwa apelekwe Milembe faster na Treni ya mwendo kasi
Basi nawe utafute atakaye kupendeleaAnatapatapa. Hajui pa kushikia. Magwajima yasirudi bungeni. Mbunge wa mchongo wa Mwendazake. Alipendelewa, lakini bahati haiji mara mbili.
Yeye si askofu mfufua watu.Anashindwaje kuwaleta waliotekwa.Ana ugomvi na watekaji. Sasa sijui una maana gani hapo juu
Siishi kwa upendeleo, juhudi zangu za kazi ndio manikio yangu. Mmezoea kupendelewa pendelewa tu.Basi nawe utafute atakaye kupendelea
Waelimishe chawa wote wanaozesha taifa letu kwa tabia hizoSiishi kwa upendeleo, juhudi zangu za kazi ndio manikio yangu. Mmezoea kupendelewa pendelewa tu.