Askofu Gwajima anahitaji msaada wa haraka wa kisaikolojia

Mmejenga Reli hospital tuanawanachama milioni 12+ kwanini tusiwape chadema reforms kwanza chama hakuna hata viongozi πŸ˜‚πŸ˜‚
reforms sio peremende gentleman
 
Kwa maelezo yako haya, wewe unahitaji msaada wa haraka sana kufikishwa Mirembe Hospital, Dodoma.
 
Kwa hali ilivyo mimi na wewe pia tunahitaji huo msaada wa kisaikolojia sio Gwajima tu.
 
Mdude Chadema ameacha mtoto mdogo kabisa na mjane
 
Huyo jamaa na Mwashambwa ni wa kupuuza!
Ukimjibu unaleta mjadala usio fikirishi kabisa, hisia zaidi,kimjibu tu ni ceedit ya bure amepewa!
Tuwapuuze.
 
Huyo jamaa na Mwashambwa ni wa kupuuza!
Ukimjibu unaleta mjadala usio fikirishi kabisa, hisia zaidi,kimjibu tu ni ceedit ya bure amepewa!
Tuwapuuze.
ni sawa,

ila Gwajima asaidiwe kisaikolojia gentleman πŸ’
 


Unataka kuwambiaje wajumbe wenzake wa halmashauri kuu ya ccm?

Coz yeye ni mjumbe na alipigiwa kura πŸ˜„
 
Askofu anaugonjwa wa chuki binafsi against Rais.Ana ugonjwa wa udini na ugombanishi
kati ya mtu anayefunga makanisa yenye watu zaidi ya 3m nchini, na anayekemea uuaji na utekaji, nani mdini. ushetani umewajaa mioyoni hadi hamna aibu, mnatetea uovu wazi wazi kwa sababu hayajawakuta, ila jueni yupo hakimu wa kweli, huyo hutoa haki siku zote.
 
Unataka kuwambiaje wajumbe wenzake wa halmashauri kuu ya ccm?

Coz yeye ni mjumbe na alipigiwa kura πŸ˜„
Gentleman,
mgonjwa anaumia wewe unaleta porojo na story za pata potea, surely?πŸ’
 
No reforms no election

ccm mnaogopa nini????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…