Askofu gwajima anawajua wasiojulikana, ushahidi huu hapa.

Subira the princess

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2018
Posts
4,555
Reaction score
4,758
Wasalaam
Tarehe 6 Sept 2017 alimuonya tundu lissu asiende dodoma atapigwa risasi. Lakini kama tujuavyo nabii hakubaliki kwao hivyo lissu talikaidi na Sept 7 alishambuliwa kwa marisasi mengi.

Hii ni wazi baba askofu anawajua wasiojulikana ni vema akawaanika wazi ikibidi kwa majina yao ili kukomesha watu kutekwa na kuuwawa.

R.I.P Mdude na wote walikatishwa uhai.
 
 

Attachments

  • 284099ac9319badfd606490a1d043e65_1748682566914.mp4
    6 MB
Alijua mengi enzi zile
 
Gwajima alishafungua CODE tena kwa MIFANO ,nawakumbusha alisema kumaliza tatizo la UTEKAJI basi mamlaka ya uTEUZI wakishateua CDF,IGP,DGIS asiweze kuwaondoa kizembezembe maana kuna issue akikataa kuzifanya basi asifukuzwe na mamlaka.
 
Mimi siku zote nimekuwa nkisema wasiojulikana ni neno la kuzuga na ku-confuse jamii ya Wadanganyika lakn ukweli hao watu wanajulikana.
Proof ya bila kutumia sayansi ya kurusha rocket kwenda angani hii hapa.
Askofu Gwajima ni Mtanzania. Huyu jamaa ana ndugu, jamaa na marafiki wa karibu. Pengine mtoto wa kakake au dadake, wa mjomba, shangazi, wa bamdogo au mamdogo wapo Tanzania na wako kwenye Utumishi wa Umma: TISS, Polisi, JWTZ, Wizara n.k.
Katika hao inaezekana kabisa akawepo mmoja katika Taasisi hizo na pengine kwenye Kikundi kinachotekeleza huo uhuni. Tukumbuke DAMU NI NZITO KULIKO MAJI.

Je, unategemea kama yupo au wamo ndani ya mifumo, watashindwa kweli kumpenyezea info nyeti ya kile kinachoendelea nyuma ya pazia???

Tafakari
 
Tundu Lissu mbishi sana, ubishi wake ndio udhaifu wake mkubwa. Hapo baada ya kupewa onyo angesepa zake nje ya nchi tu na kufanyia harakati zake huko
Wangemuita mwoga, sijui kibaraka was mabeberu lakini ni afadhali zaidi kuliko kupigwa risasi kama zile
 
Gwajima ANAFAA KUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
 
Zaidi ya hapo ana waumini tofauti tofauti wenye nyadhifa tofauti kwenye nchi hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ