Askofu Gwajima apigwa kombora Bungeni na Mbunge wa Mtambwe, Khalifa Issa

hivi mbona wabunge wamekuwa wapum bavu hivi. wananchi wanashida majinboni wao wanaongea upuuzi mi ndio maana huwa sipigi kura
 
Acha ujinga....

Wakristo tuko madhehebu mengi....na hata walio walokole ,si wote wanaoamini kufufua wafu baada ya bwana Yesu....kwani bado ninautafuta ushuhuda wa MCHA MUNGU mwingine aliyemfufua mtu baada ya bwana Yesu...mpaka Sasa SIJAUONA....

UJINGA MZIGO....

HAPO HAKUNA UDINI WALA "ULEVI WENU WA CHUKI ZA KIDINI" USEMAZO.

Siempre Tanzania!
 
Povu lanini wakati mtu katoa ushauri kuwa hawa manabii watusaidie kufufua wafu? Au hawawezi na kama hawawezi kwanini wanadanganya watu? I Ifike mahali tusifumbie macho mambo ya kijinga.
 
Yaan kwa ako ka swali kakijinga na kubamiza iyo meza tayar jamaa kavuta 239K .....eh gudavuuuuuu
 
hamna cha udini pale, Gwajima alichemka tu - chanjo dunia nzima inachanja, US na ulaya wameanza kuchanja hadi watoto wadogo - leo hii anatokea mtu anatisha watu kwamba chanjo inaandika DNA ya mtu upya... eti yawezekana miaka ijayo asizaliwe mtu kikazaliwa kiumbe kingine - wakati yeye si mtaalam wa hayo mambo, ni lini alisomea genetics za viumbe ?

Kwa hiyo mtoa hoja, hapo alikuwa anakumbushwa tu arudi kwenye fani yake ya kufufua misukule aliyosomea na awaache wataalam waliobobea kwenye chanjo na human genetics watatuambia ukweli.
 
Huyo mbunge kama kweli kasema hivyo basi ni mpumbavu wa kiwango cha kimataifa.

Anafanyia utani masuala ya kifo wakati hajui ni lini moyo wake utasimama milele.
Nadhani wanaofanya utani ni hao manabii wanatengeneza movie za kufufua watu wakati wanajuwa wazi kabisa hakuna kitu kama hicho. Au na wewe unaamini maiti inaweza kuombewa ikafufuka?

Wajinga ndio waliwao.
 
Wakristo wanaamini kuwa kupitia Jina la Yesu wafu wanaweza kufufuliwa na hii ni ahadi ya Mungu wao.
usichanganye mambo - wakrsito wanaamini ufufuo wa mwili siku ya mwisho ambapo Yesu Kristo atakaporudi tena- Hakuna mkristo anaamini kwamba mwanadamu anaweza kumfufua mwanadamu mwenzake never!! Hili la kufufua wafu lilifanyika na Yehova mwenyewe yaani Yesu Kristo tu alipokuwa akiishi duniani, hata wanafunzi wake wakati mwengine walishindwa kuponya au hata kutoa mapepo..hadi walimuuliza kwa nini yeye aweze na wao wanashidwa? kuna wakati mapepo yaliwagomea..

soma Marko 9:14- 37 itakusaidia.

 
Kumbe wakristo mmnafufua wafu eeee?
 
Akemee nini mkuu wakati Gwaji boy(porn-star) anajinadi anafufua wafu,utakua mfuasi wake wewe.
 
hapo UDINI unauleta wewe, kwani Gwajima hajawahi sema ANAFUFUA?
Mwache akajaribu maana alijinasibu sana na ukabila wake, yalikuwa tena sio mahaba ila karaha
 

Queen Esther,

Kuna utapeli kupitia imani na hapa ndipo tatizo lilipo.
Haiwezekani na haikubaliki kuacha wananchi walio wengi wadanganywe, wafilisike na hata kufa wakati serikali ipo.
Mifano ipo ya manabii hao matapeli, waongo.
Imani siyo ujinga na Mungu wa kweli hataki wapumbavu wanaodanganyika kwa kuamini utapeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…