Askofu Gwajima atoke hadharani aombe msamaha na kuapa kutorudia tena makosa yake ili afunguliwe Kanisa lake

Tena tunausubiri kwa hamu tumpe mama mitano yake kiulaini kabisa, kama kusukuma mlevi.

Chama kipi ch Upinzani cha kushindana na CCM hivi sasa?
Tunakwenda kumpatia Rais Samia ushindi wa heshima utakao weka historia hapa Nchini.
 
H
Hujapona Afya ya Akili!
 

Akifanya hivyo huduma yake haitaweza kurudi. Yaani aanze kuwa muongo na kupigania wauaji badala ya kutetea raia. Raisi Samia ndiye anatakiwa kuomba msamaha kwa taifa kwa mauaji na utekaji
 
Akifanya hivyo huduma yake haitaweza kurudi. Yaani aanze kuwa muongo na kupigania wauaji badala ya kutetea raia. Raisi Samia ndiye anatakiwa kuomba msamaha kwa taifa kwa mauaji na utekaji
Kwani wewe ndiye ulianzisha huduma yake.
 
Yaani mijitu inaongea utadhani hakuna raia wanao tolewa uhai. Kuna shida kubwa sana hii nchi.
 
Mwacheni Mtumishi Gwajimaa,huko Aliko angaa ka Musa kwenye mlima Rungwe anapiga Maombi ya hatari na haonekani,analindwa na malaika,huku alijiandaa kuja kuchukua mafao ya ubunge June mwaka huu!
Naona unajitekenya na kujichekesha Mwenyewe
 
Mtoa mada baba yako alifanya kosa kubwa sana kumwagia ndani
 
Wewe kwenda zako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…