Askofu Gwajima atoke hadharani aombe msamaha na kuapa kutorudia tena makosa yake ili afunguliwe Kanisa lake

Haombi mtu msamaha ,aombe msamaha kwa kosa lipi?
 
Sijasoma. Ila we ni mpumbavu
 
Wewe ni ZEZETA. Huyo chura kiziwi wako unayemuabudu gwajima hawezi kumuabudu. Gwajima Hana kosa mbele za wanadamu na mbele za Mungu kwa KUKEMEA maovu mnayofanya.
Mwaache aendelee kufingia makanisa na akiweza afungiye yote nchi nzima. Na bado watu tutaanudu Mungu wetu. Sababu waabudio halisi watamuabudu Mungu katika roho na kweli
 
Gwajima kasema yaliyokweli. Kwanini hamtaki kutoa majibu ya utekaji? Mnataka kuwadhuru wanaokemea uovu huo? Gwajima yupo sahihi na tambua kuwa kanisa sio lake bali ni la Yesu Kristo. Hivyo yeyote aliyehusika ktk kulifungia kanisa atakutana na Yesu mwenyewe!
 
Lucas unataka kutuaminisha kua kufungiwa kwa kanisa ni maagizo ya mama na sio utaratibu wa awaida wa Serikali katika kutimiza majukumu yake ya kulinda AMANI ya nchi?
Kama hivyo ndivyo basi Gwajima hana haja ya kuomba radhi.
 
Lucas unataka kutuaminisha kua kufungiwa kwa kanisa ni maagizo ya mama na sio utaratibu wa awaida wa Serikali katika kutimiza majukumu yake ya kulinda AMANI ya nchi?
Soma andiko nimeeleza vyema kabisa
 
Mama yako ni mwenye kiburi wakati uwezo wake ni mdogo sanaaa, afu mwambieni asi zoee kusoma vi gazeti atumie akili yake
Uwe na adabu wewe. Uwezo wa kiakili wa Rais wetu ni mkubwa kuliko ukoo wenu wote kwa umoja wake. Kama Afrika ingekuwa ni nchi basi Mama yetu Mpendwa angekuwa ndiye Rais
 
Karudie kusikiliza tena maneno yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…