PreGE2025 Askofu Gwajima awaongoza waumini wake kuimba 'Tanzania Tanzania Nakupenda’

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Askofu Gwajima awaongoza waumini wake kuimba 'Tanzania Tanzania Nakupenda' kabla ya kuanza kuongea na Watanzania
Your browser is not able to display this video.
 
Chumba hiko..kwanza kaanza na Tanzania Tanzania nakupendaaaa🤣🤣🤣🤣
 
Hiyo ndio misukule aliyosema anaifufuaga?
 
Wonders shall never end ✨️ 😌
 
Hatimae Taifa limepata mkombozi
Taifa langu Tanzania nakupenda kwa moyo wote ,Asante Mungu kwa ajili ya Askofu gwajima
 
Hatimae shetani kageuka Malaika. Kazi iendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…