#COVID19 Askofu Gwajima azipatanisha CCM na Chadema, zote zinapinga msimamo wake kuhusu Chanjo!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Chadema na CCM zimeungana katika kumkemea askofu Gwajima kuhusiana na msimamo wake hasi kuhusu chanjo ya Corona.

Katika mambo ya msingi ni jambo jema kuwaona Chadema na CCM wanakuwa Wamoja katika Umoja.

Mungu ni mwema wakati wote!
 
Gwajima kasimama kwa niaba ya Watanzania walio wengi... Hao walio bega kwa bega na mama Samia ni madalali wa chanjo alafu pia ni kama wamelipwa kutangaza na kuzipromoti chanjo

Watashindwa tu
 
Gwajima ameishika CCM na Serikali yake pabaya wamebakia kubweka bweka tu lakini hawana cha kumfanya. Gwajima ana 'watu'
 
Gwajima kasimama kwa niaba ya Watanzania walio wengi... Hao walio bega kwa bega na mama Samia ni madalali wa chanjo alafu pia ni kama wamelipwa kutangaza na kuzipromoti chanjo

Watashindwa tu
Sema kasimama vyema na watanzania wajinga.
 
Timing ya Gwajima imekuwa nzuri sana.nadhan chama chochote cha siasa kingetokea kutembelea hii agenda ya kupinga chanjo kwa hoja nzito km za Gwajima ingewapa credit kubwa kuliko hayo madai ya katiba mpya.huhitaji akili kubwa kuwawin watanzania sisi ni watu wa matukio nashangaa why vyama vya upinzani vimeamua kusapoti chanjo wakati kuna maswali magumu ya kukuuliza kabla ya kusapoti chanjo
 
Huo ndiyo umoja wa kitaifa bwashee 😂
Siyo kushirikiana kupandikiza wabunge COVID-19.

Everyday is Saturday................................😎
 
Timing ya Gwajima imekuwa nzuri sana.nadhan chama chochote cha siasa kingetokea kutembelea hii agenda ya kupinga chanjo kwa hoja nzito km za Gwajima ingewapa credit kubwa kuliko hayo madai ya katiba mpya.huhitaji akili kubwa kuwawin watanzania sisi ni watu wa matukio nashangaa why vyama vya upinzani vimeamua kusapoti chanjo wakati kuna maswali magumu ya kukuuliza kabla ya kusapoti chanjo
Hebu weka hayo maswali yako magumu hapa tuyaone! Keyboard warrior gani awe na maswali magumu kushinda mtazamo na decision wa dunia juu ya corona?
 
Sio maswali yangu bro ni ya Gwajima na hutaweza kumuelewa kama hujasoma philosophy ndio maana unaona hakuna aliyemjibu hadi sasa
 
Back
Top Bottom