johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Sema kasimama vyema na watanzania wajinga.Gwajima kasimama kwa niaba ya Watanzania walio wengi... Hao walio bega kwa bega na mama Samia ni madalali wa chanjo alafu pia ni kama wamelipwa kutangaza na kuzipromoti chanjo
Watashindwa tu
Ugaidi?!Gwaji aoewe UGAIDI tu
Hahahaaaa........!Huo ndiyo umoja wa kitaifa bwashee π
Siyo kushirikiana kupandikiza wabunge COVID-19.
Everyday is Saturday................................π
Hebu weka hayo maswali yako magumu hapa tuyaone! Keyboard warrior gani awe na maswali magumu kushinda mtazamo na decision wa dunia juu ya corona?Timing ya Gwajima imekuwa nzuri sana.nadhan chama chochote cha siasa kingetokea kutembelea hii agenda ya kupinga chanjo kwa hoja nzito km za Gwajima ingewapa credit kubwa kuliko hayo madai ya katiba mpya.huhitaji akili kubwa kuwawin watanzania sisi ni watu wa matukio nashangaa why vyama vya upinzani vimeamua kusapoti chanjo wakati kuna maswali magumu ya kukuuliza kabla ya kusapoti chanjo
Sio maswali yangu bro ni ya Gwajima na hutaweza kumuelewa kama hujasoma philosophy ndio maana unaona hakuna aliyemjibu hadi sasaHebu weka hayo maswali yako magumu hapa tuyaone! Keyboard warrior gani awe na maswali magumu kushinda mtazamo na decision wa dunia juu ya corona?