October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Usinikumbushe hilo janga!Naona samia kageuka kuwa Putin anataka kumkaribisha Prigozhn kahawa ikulu unajuwa kinachofuata ni kupelekwa kwa Mungu baba
ndege maskini
We acha tu walifanywa collateral demange, alifanya vile makusudi angemuua idle ingeleta shidaUsinikumbushe hilo janga!
Wala hakuwajali watu wengine wasiolengwa waliokuwemo kwenye hiyo ndege maskini wa Mungu nyie!
Kwa hiyo na kwenye msiba akaenda, na mkono wa pole akatoa?W
We acha tu walifanywa collateral demange, alifanya vile makusudi angemuua idle ingeleta shida