Askofu Gwajima: Kamati ya Bunge imenifanya nionekane kama Jitu baya na Korofi, sasa hili ndio lililojiri kikaoni

Makondoo mengi ni KE,yakibena mimba yanaenda kiliniki na yakijifungia yanapeleka watoto wao kuchanjwa,
Yakiugua yanaenda Hospitali na vitoto vyao,
Kwa kweli ujinga Ni mzigo,hilo kanisa limeletwa na wazungu ambao wamegundua chanjo ,bibilia anayoitumia imeletwa na wazungu,
Kama angekuwa na akili angewaambia kondoo wake aachane na kanisa aludi kwenye utamaduni wa mababu zetu.
 
Kama kulikuwà na Masheikh wa uamusho waliotaka Zanzibar ijitenge Basi huyu ni Askofu wa uamusho, anataka familia ya ufufuo na uzima Tanzania ijitenge katika masuala ya Chanjo ya uviko-19.sina uhakika kama waumini wa kanisa Hili nchi zingine 140 plus nako hawachangii uviko-14.Lakini CCM inabidi wavune walichopanda.
 
Elewa hili: 'What is said generally does not apply to you particularly'.
I agree...

That's why what you have just said, does not apply to me 100%..!!

Because, this proverb better describes the way of your thinking...

".. Usilolijua ni sawa na usiku wa giza totoro..."

This is what I mean:

That, better shut the mouth for things which you don't know until you are enlighten with...
 
Ila haka kajamaa kajasiri sana.Serikali haishikwi makalio,ona kilichomkuta lissu baada ya kujaribu kushika kalio la serikali
 
Shida ipo pande zote,Gwajima anachanganya dini na siasa


Shida ya wabunge ni vigeugeu na tamaa,msimu wa JPM(R.I.P)walipiga vita kuu chanjo wakiunga mkono kujifukiza, sasa wako upande wa mama kuamasisha uchanjaji na ukipinga ama kuoji unakua adui.
 
Shida ipo pande zote,Gwajima anachanganya dini na siasa


Shida ya wabunge ni vigeugeu na tamaa,msimu wa JPM(R.I.P)walipiga vita kuu chanjo wakiunga mkono kujifukiza, sasa wako upande wa mama kuamasisha uchanjaji na ukipinga ama kuoji unakua adui.
CHANJO YA COVID-19 NI HIARI! Kama Raia wa Kitanzania hataki maana siyo lazima kwanini wanataka kumlazimisha Askofu Gwajima?
Pili, chanjo za Johnson& Johnson zilixopokelewa na Serikali ni 1milioni plus lakini mpaka sasa Watz waliochanjwa hawafiki hata laki 4....!!
Why accuse Bishop Gwajima?
 
Mahubiri yanayoongozwa na ROHO WAKE MWENYE NDIMI MBILI, MTAKAVITU NA MTAKAVITU namuunga mkono kabisa mkuu mmoja humu mwenye upako aliyejua hizo roho za Gwajiboy.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Hakuna wa kuingilia dini za watu
Gwajima Yuko sawa.
Uzuri alishasema Yuko tayari kwa uamuzi wowote isipokuwa kufa.

CHADEMA wanataka afukuzwe wapate wa kuokoa jahazi.
Na alisimamishe bendera yao 2025
 
We gwajima tulia sindano ikuingie
 
'Better shut the mouth for things which you don't know until you are enlightened with...' That's why I've been saying about your leader...it's better he shuts the mouth for the things he doesn't know instead of giving his opinions on things he cannot justify or prove.
 
Hashtag CCM IMFUKUZE GWAJIMA.....

GWAJIMA afukuzwe CCM......

#SiempreJMT
 
Aisee hii chanjo ina walakini?!Uingereza nako watu wameandamana,nilikuwa sizikubali hoja za Gwajima! Kama namuelewa sasa vile..........!chanjo!
 
Amesimamia anachojua ni kweli na haogopi hilo. Fitina kwake ni mwiko. Maelezo yake yamenyooka.
 
Mtu wa ajabu! Anajiita "Dk" lakini hana mantiki. Mara anasema imani yake ni "yesu aliyekufa msalabani na kufufuka", mara nasema imani yake ni "hatuchanji, hatujajanja, hatutachanja"? Ipi sasa? Au ana miungi miwili? Kikkristo na kupinga chanjo?

Halafu ni dhahiri hasemi ukweli. Bila shaka yeye amechanjwa, na wengi wa kundi lake wamechanjwa.
Si Covid, lakini chanjo hizo zote nyingine.
Ambazo zinaonekana haelewi chochote jinsi zinavyomkinga.

(Kama angeelewa punje asingesema anachosema)

(Uaskofu wake ni wa kujipachia, Dk wake ni wa kununua - angalia alipopata - wanatoa kuanzia dola 2000)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…