Askofu Gwajima kuongoza mkutano wa maombezi Kunduchi Mecco leo Jumapili

Askofu Gwajima kuongoza mkutano wa maombezi Kunduchi Mecco leo Jumapili

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2018
Posts
11,936
Reaction score
15,196
Wanajamvi,

Mbunge wa kawe mchungaji Joseph at Gwajima leo atakuwa na mkutano mkubwa wa maombezi kwenye viwanja vya mecco kunduchi.

Mecco ni eneo lililopo kwenye mgogoro wa ardhi mkubwa .wananchi wanataka kubomolewa nyumba zao kupisha kinachoitwa mradi.

Mara kadhaa huhudi zimefanyika kumualika Gwajima kama mbunge ili aje kusikiliza kadhia hii bila mafanikio
Leo Askofu Gwajima anakuja na drama za dini katikati ya mgogoro?

Note: Amewakataza. Wana ccm kuvaa ile miguo yao.

Huyu ni tapeli haswa
 
Ni bora ikawa kwenye viwanja vya wazi,tusijekutwa na ya Shakahola 😂
 
Maeneo mengi Dar ni makazi holela...

Ikitokea kwamba serikali iamue kufuata sheria, pengine 50% ya wakazi wenye majengo wanaweza poteza majengo yao...
 
Back
Top Bottom