Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
The final level of being smart is just pretending you don’t know anything to make your life easier.Akiongea na watanzania, Mbunge wa jimbo la Kawe, Josephati Gwajima amesema sio vyema kushinda bila kuwa na mshindani. Hivyo yeye kama mwanachama wa CCM ameshauri CCM ifanye mabadiliko kidogo kisha wawaruhusu CHADEMA kuingia kwenye Uchaguzi.
Amesema kutokana na wingi wa wanachama wa CCM, suala litakuwa jema kwa kuwa CCM ina wanachama wengi. Askofu Gwajima amesisitiza zifanywe reforms chache zitakazowaruhusu chadema kuingia kwenye uchaguzi kisha waje wawashinde kwenye uchaguzi.
Amesema ushindi inabidi uangalia nchi itakuwaje baada ya uchaguzi. Maana ni vigumu kupigwa kjabla ya uchaguzi na baada ya uchaguzi ambapo italeta ugumu kwenye kuleta maendeleo baada ya uchaguzi.
Suala la No Reforms No Election ni suala la CHADEMA ambao wametishia kutoshiriki uchaguzi ikiwa hakutakuwa na mabadiliko. Askofu Gwajima amesema sio jambo jema kuwa na mgawanyiko baada ya uchaguzi badala yake kuwe na umoja utakao patikana kupitia reforms za kawaida.
Ameongea akiwa na msisitizo wa "Kuwachapa" kwa maana ya kuwashinda wapinzani baada ya kuwapa reforms watakazozihitaji.
Maza anajua hatakiwi na watanganyika zaidi ya wale wachache majangili wa mali za ummaKufanya reforms ni kucomitt suicide kwa watawala wa chama kilichopo madarakani sasa,nani akubali kirahisirahisi?
Ndio jinsi Analogia Malenga anavyojiongozaKwanini unafungua thread ya kauli moja moja badala ya kufungua thread ya press yote?
Kanisa Katoliki halina uwezo huo wa kuzuia uchaguzi, in fact watz hawana uwezo wa kuzuia uchaguzi ila wanaweza kususia uchaguzi which is a different kesi.Kanisa Katoliki litow waraka bila reforms hakuna uchaguzi
Kwa sababu hajampongeza Mwamba kwa kuhamia rasmi Chaumma? 😂Mbona angeandika tu akatuma sijaona chochote cha maana alichotuitia
Wataacha kuiba kura au biz az yuzhoAkiongea na watanzania, Mbunge wa jimbo la Kawe, Josephati Gwajima amesema sio vyema kushinda bila kuwa na mshindani. Hivyo yeye kama mwanachama wa CCM ameshauri CCM ifanye mabadiliko kidogo kisha wawaruhusu CHADEMA kuingia kwenye Uchaguzi.
Amesema kutokana na wingi wa wanachama wa CCM, suala litakuwa jema kwa kuwa CCM ina wanachama wengi. Askofu Gwajima amesisitiza zifanywe reforms chache zitakazowaruhusu chadema kuingia kwenye uchaguzi kisha waje wawashinde kwenye uchaguzi.
Amesema ushindi inabidi uangalia nchi itakuwaje baada ya uchaguzi. Maana ni vigumu kupigwa kjabla ya uchaguzi na baada ya uchaguzi ambapo italeta ugumu kwenye kuleta maendeleo baada ya uchaguzi.
Suala la No Reforms No Election ni suala la CHADEMA ambao wametishia kutoshiriki uchaguzi ikiwa hakutakuwa na mabadiliko. Askofu Gwajima amesema sio jambo jema kuwa na mgawanyiko baada ya uchaguzi badala yake kuwe na umoja utakao patikana kupitia reforms za kawaida.
Ameongea akiwa na msisitizo wa "Kuwachapa" kwa maana ya kuwashinda wapinzani baada ya kuwapa reforms watakazozihitaji.
Mwamba hana jipya tena sahiviKwa sababu hajampongeza Mwamba kwa kuhamia rasmi Chaumma? 😂
Cha maana anasubiri nini kitafungiwa baada ya kushauri yafanyike mabadiliko ili chadema washiriki uchaguzi.Mbona angeandika tu akatuma sijaona chochote cha maana alichotuitia