GE2025 Askofu Gwajima: Kutawala Nchi wakati imemeguka kwa makovu ya Uchaguzi ni kazi ngumu sana, tuwape Reforms CHADEMA

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kuzuia mikutano ya hadhara wakati Magu ilikuwa sahihi kwako.Askofu mnafiki wewe
 
Magufuli alivuta wengi akawapa vyeo ambao mioyo yao haikuwahi kuipenda CCM na itaendelea hivyo

Mabaya machache ya Magufuli, yanashinda mazuri yaliyo katika uongozi uliopo sasa!

Maana yake, mazuri ya leo ni sawa na mabaya machache yaliyowahi kufanywa na awamu iliyopita

Lucas Mwashambwa unasemaje hapo?
 
Wenye data, gwaji alikuwa anamaoni gani ya NRNE kabla ya bunge kungwa
 
Mbunge aliyetokana na kura fake
 
amesema kweli.
 
Kwahiyo hapo anaongea kama mbunge, mjumbe wa NEC CCM, Mchungaji au mwananchi huru tu?

Inabidi atambue kuwa kwenye kuongoza nchi huwa haikosekani kupingwa. Hata ukifanya reforms zozote zile usitegemee kila mtu kuunga mkono shughuli za maendeleo.

Gwajima anatakiwa kuwashawishi wana CCM kupitia vikao vya CCM, hasahasa yeye kama mjumbe wa NEC. Kama anaona hawezi kushawishi chama, na kama anaamini kuwa kuna makosa
makubwa yanafanyika, anatakiwa kujitoa CCM.

Anachofanya sasa ni kukihujumu chama. Haitawezekana kuendesha chama iwapo kila mtu ataanza kuongea kupitia press conference.
 
Mwamba amezeeka ghafra isee usigombane na system hata siku moja.
 
Mambo ninayo penda kuyasikia hayo 🀣
 
nonsense,
kuwapa reforms waropokaji kwani peremende hiyo?πŸ’
 
Mimi naona ameomba reform ili wakikubali tu aende chadema agombee urais huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…