GE2025 Askofu Gwajima: Kutawala Nchi wakati imemeguka kwa makovu ya Uchaguzi ni kazi ngumu sana, tuwape Reforms CHADEMA

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Moyo wa Gwajima upo Chadema hata kama kwa kutokupenda. Ni suala la muda tu.
 
Asante comrade Gwajima!

Reforms zifanyike Ili uchaguzi uwe halali na sisi ccm tushinde au kushindwa majimboni kihalali!!

KAZI na utu tunasonga mbele!
 
Lakini si walikataa wenyewe sasa tuwaulize wao wanasemaje hlf tutapata jibu
 
Mbona walishinda uchaguzi mwaka 2020 wakiwa wao tu CCM na Gwajima akiwa mbunge, haya mbona hakuongea? Ila kuna watu humu wanamuona shujaa ndio maaana waliamini kabisa lowasa analeta mabadiliko, ujinga mtupu
 
Mzee wa kugeuza Miskiti kuwa Sunday schools ameibuka tena.
 
Mbona walishinda uchaguzi mwaka 2020 wakiwa wao tu CCM na Gwajima akiwa mbunge, haya mbona hakuongea? Ila kuna watu humu wanamuona shujaa ndio maaana waliamini kabisa lowasa analeta mabadiliko, ujinga mtupu
Yaani huyu na Polepole hawana legacy ya kuongea haya kabisa.
 
Hayo makovu alileta yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…