GE2025 Askofu Gwajima: Kutawala Nchi wakati imemeguka kwa makovu ya Uchaguzi ni kazi ngumu sana, tuwape Reforms CHADEMA

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Jinga lao! Hivi yeye akiwa mbunge wa mchongo na MNEC akiwa na baba yake mwendazake walishindaje uchaguzi? na walitala vipi? Naye aliyasema haya.
Mdini mkubwa huyu!! Safari hii hatoboi. Ubunge ndio kashaukosa na makanisa ndio kwish nei.
Ana matatizo ya ubongo/akili apelekwe MILEMBE.
 
Huyu ni mnafiki. Kwa nini hakukataa kugombea pamoja na kwamba kura za maoni Kawe hakushinda na wala kwenye uchaguzi hakumshinda Halima? Huyu kaona hakuna mbeleko tena iliyokuwepo 2020 ndo maana kaamua kujilipua. Kwa sasa hakuna reforms zaidi ya zilizofanyika. Kilichopo mbele yetu ni uchaguzi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…