#COVID19 Askofu Gwajima, kuwa Daktari (PhD Holder) hakumaanishi unaweza kutibu wanadamu

Ana PhD gani huyu bana?? Acheni hizo.
 
Sasa hapa ni jf huna namba yake .sisi sio gwajima ila binafsi nimemwelewa
 
Madaktari wa tz hawana hoja wanalubuni tu watu kuwa gwajima msimsikilize.
Tusimsilize wakati hoja zake zinamashiko. Pingeni kwa hoja zenye uthibitisho.
Mnakalili mpaka mnapata PhD degree halafu mnakuja kuleta pumba hizi.
Sikia PhD au udokta NA kuwa NA akili YA kupambanua mambo hakuna uhusiano.
Wajinga wengi wako huko maisha YA claim
 
Ni mambo ya ajabu kweli, mbona wanalazimisha chanjo yenyewe kuna nini??? Mm na familia yangu hamna kuchanjwa mtu
Nimeshangaa sasa hivi tbc pale wamechukua wachekeshaji wa Mizengwe wale wanarecod kuahasisha watu wakachanjwe
 
Haya majina ya gwajima ni laana
 
Aliwekwa na mwendazake lzm atembelee na slogan ya mwendazake
 
Tuache mihemko. Hata wewe ukinunua dawa toka pharmacy angalao unaangalia expiry date katika kichupa kabla ya kumywesha mtoto. Sembuse chanjo za corona. Raia lazima wawe na mashaka na hasa ukizingatia habari mbalimbali kuhusu corona na chanjo zake zilivyo anza. Hatusemi hatutaki chanjo. Tunasema tujiridhishe na usalama wake. Tusikurupuke eti kwasababu Ulaya au WHO au sijui wakubwa gani wamesema hivi na vile.
Na wala hatusemi hakuna watu wema huko zitokako chanjo bali waovu wanaweza kutumia fursa. Tusiondoe huo uwezekano. Chanjo ziletwe lakini ni baada ya kujiridhisha juu ya usalama wake kwa vizazi vyetu sasa na baadae.
 
Dikteta Mwendazake ndio amesababisha Nchi imekuwa na watu wapuuzi na wahuni kama Gwajima Ku address Taifa
 
Wakishauri jipakr mavi utapakaa
 
PhD haihusiani na kuongea ukweli.

Wapo maprofessor kibao tu wanajua ukweli wa kinachoendelea ila wame'mute' kulinda mkate wao.

Ni ushujaa na kujiamini ndio vinavyomfanya ateme cheche, afu nasikia hili gonjwa ni very smart ukilipinga ndo linakupata, hamuoni kama Askofu amejitoa sadaka kwa ajili yenu.

Ila watanzania ni matomaso acha wadungwe kwanza ndo wataelewa huko mbeleni.
 
Hao Watalaamu 100 ni aina ya Tapeli Gwajima, au?! Tuwekee hapa Watalaamu 20 TU, hao 80 baki nao wenyewe!!!
Unafikiri anao basi.

Hata 20 wengi sana mwambie mmoja tu uone kama atakuwekea.
 
Hao wataalamu wetu wa afya wa hovyo kabisa wa kukopi na kupest ndo unawasifia kwa lipi? Gwajiboy anaupiga mwingi sana
 
Unafikiri anao basi.

Hata 20 wengi sana mwambie mmoja tu uone kama atakuwekea.
Of course, nami niligundua kwamba idadi niliyompa ni kubwa sana, kwenye post nyingine nikapunguza lakini bado hajatoa!!
 
Watakua wataalamu wa Whatsapp siyo walioko Lancet
 
Ila kwako ndiko taarifa zinafika bila kuchujwa?
 
Gwajima hana PhD. Elimu yake sahihi ni Kidato cha IV na cheti cha mwaka mmoja cha Nairobi. Utazame vizuri wasifu wake aliouandika mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…