#COVID19 Askofu Gwajima kuwasha moto juu ya Chanjo ya Corona - Agosti 1, 2021

RWANDES

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,788
Reaction score
4,401
Kesho askofu wa kanisa la ufufuo na uzima atawasha moto juu ya chanjo ya corona ambayo tayari imezinduliwa tarehe 29.07.2021 na rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania mheshimia SAMIA SULUHU HASSAN , watu mbalimbali ambao ni wakaribu na askofu kwa tetesi zilizopo amesema hawezi kubadili msimamo wake wa chanjo ya corona kwa kuwa yeye ni kiongozi wa kiroho na anayoyasema hutoka kwa mungu ; kwa kauli hizi nadhani ni wakati sasa serikali kujitafakari upya kutomjibu kiongozi wa kiroho ambaye huongwa kiimani tabia za vijana wa ccm kumshambulia kiongozi huyo ni utovu wa nidhamu kwa viongozi wa kiroho kwa ujumla ! Dini na siasa ni kama mafta na maji mwacheni kiongozi huo awalishe kondoo wake kama alivyoelekezwa na mungu.
 
Hata akizima moto ni sawa pia
 
huyu jamaa huwa akiamua haya kamuulizeni Ex RC wa mkoa fulani alivyofutwa kwenye ulimwengu wa siasa.
 
- Wale jamaa (wanajiita wataalam wa mapishi) wamebeba kuku walio hai wakiaminisha watu kwamba nyama ni tamu.

- Usalama wa chanjo/dawa yeyote hupimwa kwa namna inavyointeract na binadamu na sio kuipima chanjo/dawa yenyewe.[emoji28]

Science is truth, Watu waambiwe ukweli wafanye maamuzi sahihi.
 
Huyu askofu ni wa kupigwa mawe hadi afe ,jinga kabisa hila baba kenye divsion 0 form four leo linajifanya lina PhD
 
Sadaka itakua kubwa sana kesho
 
Mawazo kuntu.
 
Kwa nini unasema kesho atawasha Moto? Haya maneno anasema kila siku.
 
Akamatwe.
 
BAVICHA bwana mbona mnawashambulia CCM. Wanaoongoza kumpiga vita ni vijana wa CHADEMA! Na sababu iko wazi kamsema Mbowe. Chunguza humu JF wanaoongoza na nyuzi za kumshambulia Gwajima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…