#COVID19 Askofu Gwajima kuwasha moto juu ya Chanjo ya Corona - Agosti 1, 2021

Leo akifufuka Magu akasema watanzania tukachanjwe, askofu Chidy Gwajima kesho atadamka kuwahubiria waumini wake faida za chanjo...
 
Naona kundi la SG limeamua kumuacha wa KUDEMKA adhalilishwe na Gwajiboy. Na Gwajiboy hiki kimya kufuatia dharau zake hadharani kausoma mchezo na si ajabu ndani ya SG wamempa go ahead ya kufanya mashambulizi makali.
Mwendazake alijitahidi sana kuwapa nguvu sukuma gang. Ukiangalia hii move utangundua wapinga chanjo wote ni sukuma gang. Wanahatarisha afya zao kulinda legacy ya mwendazake....

Ukiangalia kwa makini hii ni vita ya Legacy...
 
Leo akifufuka Magu akasema watanzania tukachanjwe, askofu Chidy Gwajima kesho atadamka kuwahubiria waumini wake faida za chanjo...
Mmh huyo jamaa ni mbishi hakuna mfano na ni Mtu mwenye msimamo
Aliwahi kuishambulia sana serikali ya kikwete, akaishambulia sana pia serikali ya Magufuli mwanzoni, na sasa anaishambulia serikali ya Samia.
Huyu hana undugu kwenye analoamini
 
Huyo jamaa "popoma tu".....

Deluded chap.....

Hashtag GWAJIMA afukuzwe CCM

#CCMImfukuzeGwajima
 
Huyo jamaa "popoma tu".....

Deluded chap.....

Hashtag GWAJIMA afukuzwe CCM

#CCMImfukuzeGwajima
Hapana sio popoma
Bado sijaona sababu ya kukubaliana na serikali kwenye kila Jambo.
Ukikuta Kuna nchi watu wake wanakubali kila kitu kutoka kwa serikali, basi hiyo nchi haina watu Bali Ina WAFU
 
Mmh huyo jamaa ni mbishi hakuna mfano na ni Mtu mwenye msimamo
Aliwahi kuishambulia sana serikali ya kikwete, akaishambulia sana pia serikali ya Magufuli mwanzoni, na sasa anaishambulia serikali ya Samia.
Huyu hana undugu kwenye analoamini
Alimshambulia pia Askofu Pengo. Pengo akajituliza zake kimya hakujibu chochote. Mwishowe askofu Chidy akaenda kwa Bashite kumwomba waongozane akasaidie kumwomba radhi mtumishi wa Mungu... Pengo wala hakuwa na hiyana... akasamehe
 
Lakini si anaowahubiria kanisani wameshamwelewa au bado? Mimi hata arudie kila siku kwa miaka yote sitamwelewa mpaka aje na utafiti kuonyesha kuwa chanjo iliyopokelewa Tanzania si salama na hiyo ndiyo ingekuwa ground au justification ya mahubiri yake kuhusu chanjo. Bila kufanya hivyo, kwangu siwezi kumwelewa.
 
It's team Magu Vs Incumbent in disguise.. Gwaji hayupo mwenyewe
 
Hapa( Tanzania) hatujajadili kuhusu chanjo,kwa sababu Corona imepita mbali na nchi hii.
Lakini sasa tuna mambo mengi ya kutafakari,na kufanya uamuzi.
When it is all over,tutajikuta watu wengine tumewaweka mahabusu,wengine tumewafukuza Chama.
Tuwe na subira na watu wanaoipinga chanjo.
Civil strife ina madhara kuliko Corona.
 
Awamu ya tano na sita kweli kuna utofauti mkubwa msikilize mama hapa aliyoyasema
Your browser is not able to display this video.
 
Hii ni style mpya ya kutafuta sadaka.Na imemfanikisha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…