GE2025 Askofu Gwajima: Mimi nimedhamiria kusimama na wananchi, kukataa utekaji, uonevu wala ufisadi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Askofu Gwajima amesema yeye amedhamiria kusimama na wananchi. Mimi ni mwanachama wa Chama cha Mapinduzi aliyechagua kusimama pamoja na wananchi ambaye mimi ni mjumbe wa Halamashauri ya CCM ninayekataa utekaji, uonevu wala ufisadi ni medhamiria kusimama na wananchi. Amesema Gwajima

Your browser is not able to display this video.
 
Amedhamiria kusimama na wananchi? sawa 29 awepo kwenye maandamano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…