Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima na ahadi ya kutupeleka USA

Askofu Dr Gwajima kamaliza form four mwaka 1993,mwaka 1994 kamaliza Advance Diploma in Bible & Theology.Najiuliza mtu wa form 4 kajiunga na chuo ndani ya mwaka mmoja kavuta Advance Diploma !.
 
 
Nimemsikia anasema Mwaka jana aliwachukua vijana wa Kawe ambao ni wasanii akawapeleka Chuo Uholanzi baadae akawapeleka Ufaransa tena akawahamishia Japani mwisho akawapeleka Korea Kusini mpaka Sasa Wana connection kibao na wasanii wakubwa wakubwa duniani.

Jamaa anadanganya hadi anapitiliza, Sijui anaona wapiga sawa tu na waumini wake tu.
 
Huyu askofu hafai ubunge.
 
Askofu Gwajima nadhani hakufanya utafiti kwanza kujua ni nini nahitaji wa wana Kawe ama hajui mipaka ya kijiografia ya Kawe wala composition ya wakazi wa Kawe.
Pamoja na kwamba jimbo la Kawe linapakana na bahari lakini shughuli kuu za kiuchumi kwa zaidi 95% siyo uvuvi. Lakini anaahidi kununua boti na kuwapeleka vijana Japani kwenye mafunzo ya uvuvi.
 
Gwajima anafadhiriwa na pepo wachafu kufanya hayo mauchafu take


Over
 
Hizo ahadi Kama hizo zilitakiwa maeneo Kama bahi vile na sio kawe
 

Ujue Mambo kweli ni Magumu. hivi kipindindi cha bunge nani atakua anatoa huduma kanisani kwake? naowaona wale mnaosema wasaidizi wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…