Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima na ahadi ya kutupeleka USA

Miaka 59 ya UHURU tuna vyote hivi;

Mount Kilimanjaro

Serengeti National Park

Mikumi

Ziwa Victoria, Tanganyika

Makaa ya mawe Songea

Bandari ya DSM

Gesi ya Mtwara

Almasi

Tanzanite

Dhahabu

Bado CCM imeshindwa kumpa mwananchi MAJI ya kunywa safi na salama tu
 
Utapigwa chini wewe kawe lazima twende na Gwajima
 

Hizo ahadi kama alikupa wewe chumbani ni sawa lakini ahadi zote ambazo anaahidi jukwaani sisi kama wana Kawe tunaimani atazitekeleza.
 
Gwajima ameona fursa ya Bahari mwanaume kujiongeza wewe akili yako imeishia hapo hujielewi
 
Watu huwa mnakurupuka kama mmetoka kufumaniwa ukisikiliza ulitaka akupeleke wewe
 
Nimeshajipanga ina maana nitaenda kituoni kupiga kura na begi kabisa ili namaliza kupiga kura moja kwa moja airport ili tufike huko Marekani mapema.
Wale wanaokaaa pembezoni mwa bahari wao hawataenda Marekani wao watapewa boti za kuvulia Samaki,Wale ambao senemu zao zina barabara mbovu pia hawataenda US wao watapewa Greda la kutengeneza barabara,wale wa maeneo yasiyokuwa na changamoto na barabara Wala hawapo baharini hao ndo watapelekwa US.
Hakuna kudanganyika kijinga
 
Kwa utopolo alioufanya Mdee, Kawe kwa miaka 10, wacha tuende na Gwajima. Itoshe kusema katika aliyosema alichokua anakosa ili afanikiwe kuyatekeleza ni nafasi ya Ubunge. Nafikiri tukimpatia dhamana angalau kwa miaka 5 ndio tuanze kuhoji kwa nini hajafanikiwa. Tumpe Gwajima Kawe
 
Mgombea mwingine mwongo kuliko Ni Ummy Mwalimu."Ndani ya Miaka mitano Tanga itakuwa Kama Singapore" huu Ni uongo kiwango Cha Lami
 
Gwajima anafanya mambo kwa kutumia akili saaana
ukuja kusema ni kiongozi tapeli unaenda sehem ambao siyo maana kiongozi mzuri ni yule anayejua kuwaongoza watu vizur na wananchi wake wanamfurahia ka huduma anazozitoa

ukienda kuangalia mambo mengine gwajima aliyoyafanya kwa wananchi wa kawe mpaka wanamkubali
 
Kwani anahitaji kuwa mbunge ndipo atoe hizoahadi. Kama ana uwezo wa kufanya hivyo kwa nini asubiri kwanza apate ubunge ndipo afanye?
 
Angeahidi mtu ambaye hajawahi kwenda USA au kufika Japan ingeonekana ni mambo ya kufikirika. Gwajima amekuwa Marekani na ana marafiki Marekani, amekuwa Japan na ana marafiki huko.

Tatizo hapa ni kwa sababu nyie hamkuwahi kufika huko ndo maana mnaona haiwezekani.
 

Sera Za Askofu Josephat Gwajima nimezielewa sana tatizo ni mmoja tu, hatujawahi kupata MGombea ubunge mwenye vision na drive kama hyu baba . Ndio maaana watu wengi wanabadilisha maneno Yake na kufanya kejeli.
Ahadi ya kupeleka watu marekani ni kitu kizuri sana na kina wezekana kabisa na kimekuwa kinafanyika Miaka Mingi sana . Chuo cha UDSM wanatumia program Hiyo pia kwa wanafunzi wake ilikuzidi kuimarisha taaluma zaO. Ni mambo Dogo na JePepsi, Mji wa Birmingham unaweza kusaidia jimbo la KAWE endapo mbunge were na mayor wako wakishafika stage ya kuandika MOU .
Askofu Gwajima Alipata certificate of recognition from the mayor of The city of Birmingham Milka Kayla hajagombea , sana hapo kinachoshangaza ni nini?

Akili Za watanzania wengine zimezLea mambo MaDogo Ukiambiwa jambo kubwa akili inashindwa kuhimiri ndio wewe hapo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…