Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Hahahaaaa....... Kikao kinaendelea bwashee!Naona hiyo ndo adhabu pekee aliyopewa.
CCM ilie ile.
Kwani wewe hukumuona Prof alhaj Assad siku ile?Comrade hii sababu ya kujimini unayoisema inashangaza sana.
Umejipa muda wa kufukiri sawa-sawa kweli?
Comrade umetoa sababu shallow mno.Kwani wewe hukumuona Prof alhaj Assad siku ile?
Kwa mtazamo wako bwashee!Comrade umetoa sababu shallow mno.
Yameshuka kivipi bwashee?!Kwa maaana hiyo tusema maadili yameshuka sio?