Askofu Gwajima na Jerry Silaa wasimamishwa Ujumbe wa Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge

Hivi kamati ya bunge/spika wa bunge wanayo power ya kumvua mbunge ubunge?
 
Apo wanashusha pumzi wakija kuachia nyundo itakuwa Kubwa sana
 
Ndio maandalizi ya kumwondoa Gwajima duniani au?

View attachment 1905829
Tena kwa ugonjwa sawa na huu aliokuwa anataka haki na ukweli vijulikane! Pharmaceutical industries ni ny0k0 ukiigusa maslahi yao umeisha....subirini muone kuhusu ukweli wa maneno yangu!
Majirani zetu Kenya mwezi ujao mtumishi yeyote wa umma hakuna mshahara hadi awe na cheti cha chanjo ya Uviko -19,Hivi kuna nini nyuma ya hii chanjo??!

Mimi nimesoma alama za nyakati nikajitahidi kupata cheti ila chanjo hadi 2028!
 
🔴BREAKING NEWS:

Wabunge Josephat Gwajima (CCM, Kawe) na Jerry Silaa (CCM, Ukonga) ambao ni wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge wameondolewa kwenye kamati hiyo hadi itakapoamuliwa vinginevyo
 
Baada ya hapo mshahara wao utapungua toka milioni 12 hadi ngapi?,au marupurupu yatapungua!?.. vyeo vingine ni kuongezeana majukumu tu kwenye Jamii. Anayekupunguzia hivyo vyeo anaweza kuwa anakusaidia akidhani anakukomoa.
 
Nadhani wameondolewa kwa muda ili kwanza wajadiliwe. Isingewezekana Gwajima akajihoji
 
Nyie mnaompa kichwa ndio mnamuharibu
 
Kwa kitendo alichofanya ngwajima hakustahili kuwa mbunge licha ya uanachama.
WANAMWOGOPA,WANAJUA NYUMA YA NGWAJIMA KUNA WATU WENYE NGUVU. KAMATI IMEJIOSHA MBELE YA JAMII

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Reactions: BAK
Silaa kaipigania CCM hadi kufikia kumpoteza Baba yake kwenye ajali ya helkopta lakini hayo ndiyo malipo.
 
Usanii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…