Askofu Gwajima na Jerry Silaa wasimamishwa Ujumbe wa Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge

Mbona pole pole kaachwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wakiondolewa hivyo ni hasara gani kwao au posho hakuna tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii movie ingerekodiwa ikarushwa Netflix mbona tungetoboa na mapato kuongezeka badala ya kupandisha tozo.
 
Gwajima kwenye kamati ya haki na maadili…..!?
 
CCM kwa CCM acha yauane
 
Sio kweli.
 
CCM nao wana matatizo. Si wamnyang'anye ubunge waliompa kwa dhuluma kwanza tujue they mean business. Gwajima angepewa persona non grata na kurejeshwa kwao Burundi haraka sana.
 
Mmiliki wa Bunge letu Tukufu katika ubora wake wa maamuzi
 
Kwa hoja gani hadi afungiwe?
Ni tishio kwa chama tawala. Sasa kwa nini watishwe na mtu ambae walimpa ulaji??
Lkn gwajima amekasirika kuondolewa cha cha upinzani kwa ghiriba za kupewa uwaziri baadae barozi wa japani...kitu ambacho hakukipata km walivo kubaliana hata fununu ya lini atapewa...sasa iki kimemfanya akasirikie sirikali.. Na ana lengo la kuwasha moto hasa mpaka wayambe kifukuto!! Salma anajua!!

Yeye gwajima hajali kuupoteza huo ubunge.wala makanisa yake ya bongo.

Kwa kuwa Anayo makanisa mengi ulaya. Usa na Asia!! Na yanatoa sadaka kubwa kuliko hivi vikanisa vya bongo.

.Isipokuwa Tu australia ..N/zealand.Samoa.solomoni nk huko ni karibu tu na jpani.

hkn vikanisa vya ufufuo na uzima alitaka atumie fursa hiyo.kupata sadaka za huko. Zinalipa na watu kule ni waelewa..tayari walisha mpa fokker friendship mbili.na helkopter. Hiki baadhi ya wajumbe walikipinga lkn jiwe alikuwa mbabe aliamini akisema hkn wa kupinga.
 
Maneno meeeengi, haya sasa, jibuni hoja zake
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…