#COVID19 Askofu Gwajima na Mkurugenzi wa chanjo ya Pfizer na mgunduzi wa MRNA watakutana Zoom kujadili Madhara ya chanjo


Pumba tupu chanjo ya jj sio ya mRna ! Mgumduzi wa hii technology ni dr mama mweusi ambaye Gwajima hamfahamu. Ame tafuta Dr wengine anawaita wagunduzi. Watanzania acheni kupenda kulishwa uongo ukiumwa utakuwa peke yako kitandani
 
Kwamba hakuna Corona [emoji15][emoji15][emoji15]
Muulize Jiwe, alijifanya mjuaji zaidi yako
 
Kwamba hakuna Corona [emoji15][emoji15][emoji15]
Muulize Jiwe, alijifanya mjuaji zaidi yako
Wewe unadhani Jiwe alikufa kwa Corona? It was Heart attack assasination.
Ukitaka kujua kuhusu Corona angalia kitu kiitwacho Exosoms! Hiki kitu kipo naturally for thousands of years na hakina madhara kwa binadamu leo tunalazimishwa barakoa na kunawa, ***** zao!
Sikutafunii kila kitu jomba
 
Jambo gani hilo mkuu liweke wazi
 
Sio mwanasayansi ila alitumia sayansi kuhoji madhara ya chanjo,kwanini asijibiwe kisayansi? Simple
 
Amewaomba hizo tafiti akina Dorothy na Mollel. Hawana. Tatizo linaanzia hapo maana ni haohao just 5 month ago waliokuwa wanapinga tafiti za wazungu huku povu likiwatoka na kupromote juice ya tangawizi, limao na kitunguu swaumu.
 
Hii comments ihifadhiwe vizur mana haya ndo yajayo, count on me, anarudi kwenye reli baada ya kashkash kubwa.
Utabiri: gwajima ataendelea kushikilia msimamo wake juu ya chanjo ya uviko 19 hali itakayosababisha atofautiane na viongozi wa juu, atalazimika kuhama chama na kwenda upinzani na huenda akapewa 'heshima' kubwa huko.
 
Sasa toa alternative wafanyeje watu ambao wapo kwenye risk ya kupata Covid 19? Yaani kuna nchi wanakufa elfu 1 kwa siku..... Chanjo hazifai ssa watumie nni???
Samahani boss ni nchi gani iyo wanakufa elfu 1 kwa siku
 
Gwaji boy naye anatuchanganya...mjadala huo unahusu nini sasa wakati pfizer wameshatengeneza mamilioni ya chanjo wameshapiga hela duniani za kutosha sasa anataka kuwapa utalaam hao pfizer kwamba chanjo haifai? na wao pfizer waache kutengeneza?.....tunajua msimamo wake yeye Gwaji boy ni kuwa hataki chanjo...

Naanza kuona na kunusa kwa mbaali ugomvi wa kimaslahi hapa na udalali ulioshindikana ndio maana wanaparuana na shemejiye na serikali..
 
Atupatie anwani ya hiyo Zoom meeting nitahudhuria.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] gwajima kujimwambafai tu na kudaganya misukule yake pale kwake
 
Hizi ni kama zile habari za Birmingham U.S.A na treni cash.

Gwajima mjanja sana.
 
Hivi huwa mnaziba macho na masikio?

Ile treni alonunua cash iko wapi?
 
Rafiki yangu Gwjiboy sio size yako hata umdhihaki kiasi gani.
Na kweli sio size yangu anajificha kwenye kivuli Cha dini huku mzinifu na muongo alisema coronavirus haipo na sasa ipo Tanzania, alisema hagombei ubunge na sasa yuko mjengoni kwa chama kilicholetea taifa hili hasara, na soon atachoma chanjo tu hadharani, sasa hapo tutakuwaje size moja aisee, hafu pia anafufua misukule na mimi sijawahi fufua misukule. You can see the differences eeeh [emoji23][emoji23][emoji23]
 

Gwajima kada pekee wa ccm aliemua kubaki na akili yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…