Jasusi la mbinguniNyie huyu gwajima sio jasusi kweli?, amewezaje kuwatoa Jasho polisi na watekaji hadi sasa hawajui alipo, huu msamaha ni mtego wamnase tu ila najua gwaji boy ni mjanja kashawasoma kitambo sana.
Kila wakitageti location inasoma dar somewhere wakifika mamba hayupo location inasoma uyole ,mbeya hahahaha
Mjapani yuleNyie huyu gwajima sio jasusi kweli?, amewezaje kuwatoa Jasho polisi na watekaji hadi sasa hawajui alipo, huu msamaha ni mtego wamnase tu ila najua gwaji boy ni mjanja kashawasoma kitambo sana.
Kila wakitageti location inasoma dar somewhere wakifika mamba hayupo location inasoma uyole ,mbeya hahahaha
Gwaji boy analindwa na mfumo. Hii kitu lazima mtu ang’olewe. dkt Samia Alikuwa mbishi, sisi wazalendo tulimpa hint zote namna ya kufanya alinde kiti chake akashupaza shingo, kwa ujumla JF ndiyo pahala pekee Kiongozi anaweza kujua namna ya kuongoza nchi. Sasa hivi kila mwenye kutaka kuiongoza Tanzania anataka Dkt Samia afe ili arundikiwe mizigo yote ya mauaji mpaka ya Dkt Magufuli, wakati enzi zile tunamuonya Mama omboleza achana na mambo ya kutaka kugombea, haya tukamjulisha Mama ukigombea huo ni mtego watakuua maana hawapendi uendelee maana haukuwa kwenye ratiba hahahah ila sasa kila sehemu mpaka wananchi masikini wanasubiri dkt samia afe washangilie kisa kaua vijana. Yaani kama huwa anapita JF na kusoma na hajabadilika basi ajue ndiyo hivyoNyie huyu gwajima sio jasusi kweli?, amewezaje kuwatoa Jasho polisi na watekaji hadi sasa hawajui alipo, huu msamaha ni mtego wamnase tu ila najua gwaji boy ni mjanja kashawasoma kitambo sana.
Kila wakitageti location inasoma dar somewhere wakifika mamba hayupo location inasoma uyole ,mbeya hahahaha
Mi nitalewampaka wananchi masikini wanasubiri dkt samia afe washangilie kisa kaua vijana.
Umetaja point mhm sana humu. Watu hwawajui sisiemu. Ona maguu alivyotupiwa kila aina ya uchafu. Huyu mama wanae watashangaa sana huo muda ukifika.Gwaji boy analindwa na mfumo. Hii kitu lazima mtu ang’olewe. dkt Samia Alikuwa mbishi, sisi wazalendo tulimpa hint zote namna ya kufanya alinde kiti chake akashupaza shingo, kwa ujumla JF ndiyo pahala pekee Kiongozi anaweza kujua namna ya kuongoza nchi. Sasa hivi kila mwenye kutaka kuiongoza Tanzania anataka Dkt Samia afe ili arundikiwe mizigo yote ya mauaji mpaka ya Dkt Magufuli, wakati enzi zile tunamuonya Mama omboleza achana na mambo ya kutaka kugombea, haya tukamjulisha Mama ukigombea huo ni mtego watakuua maana hawapendi uendelee maana haukuwa kwenye ratiba hahahah ila sasa kila sehemu mpaka wananchi masikini wanasubiri dkt samia afe washangilie kisa kaua vijana. Yaani kama huwa anapita JF na kusoma na hajabadilika basi ajue ndiyo hivyo
Polepole alikuwa easy sana adi anatekwa kizembe hivyoGwaji boy analindwa na mfumo. Hii kitu lazima mtu ang’olewe. dkt Samia Alikuwa mbishi, sisi wazalendo tulimpa hint zote namna ya kufanya alinde kiti chake akashupaza shingo, kwa ujumla JF ndiyo pahala pekee Kiongozi anaweza kujua namna ya kuongoza nchi. Sasa hivi kila mwenye kutaka kuiongoza Tanzania anataka Dkt Samia afe ili arundikiwe mizigo yote ya mauaji mpaka ya Dkt Magufuli, wakati enzi zile tunamuonya Mama omboleza achana na mambo ya kutaka kugombea, haya tukamjulisha Mama ukigombea huo ni mtego watakuua maana hawapendi uendelee maana haukuwa kwenye ratiba hahahah ila sasa kila sehemu mpaka wananchi masikini wanasubiri dkt samia afe washangilie kisa kaua vijana. Yaani kama huwa anapita JF na kusoma na hajabadilika basi ajue ndiyo hivyo
Inawezekana pia ilikuwa mbinu ili kuchochea hasiraPolepole alikuwa easy sana adi anatekwa kizembe hivyo
Mpumbavu alikuwa Dar ila akajigamba Yuko Tanzania hivi angedanganya Kuwa amepata hifadhi ys ukimbizi Sweden unadhan wangejisumbua ku Concentrate hapa bongo kumtafutaInawezekana pia ilikuwa mbinu ili kuchochea hasira
Alishauriwa sanaa,sawaUmetaja point mhm sana humu. Watu hwawajui sisiemu. Ona maguu alivyotupiwa kila aina ya uchafu. Huyu mama wanae watashangaa sana huo muda ukifika.
Gwajima ana akili kuliko waoMaybe wameweka mtego wamnase kirahisi
KabisaMpumbavu alikuwa Dar ila akajigamba Yuko Tanzania hivi angedanganya Kuwa amepata hifadhi ys ukimbizi Sweden unadhan wangejisumbua ku Concentrate hapa bongo kumtafuta
Ile kusema yuko Dar ilikuwa mbinu pia ya kupoteza maboya ili wasiamini maana isingewezekana kuamini kwamba jamaa yuko Dar kibahaMpumbavu alikuwa Dar ila akajigamba Yuko Tanzania hivi angedanganya Kuwa amepata hifadhi ys ukimbizi Sweden unadhan wangejisumbua ku Concentrate hapa bongo kumtafuta
Alikuwa na hadhi kubwa sana, kwa level yake anaishi popote duniani maana hakuwa na kosa la kijinai wala la kimataifa la kusema kwamba wangemdepotKabisa
Yaani aliniudhi mimi japo iliniumiza
Sijui alikuwa ashajitoa mhanga ? Mpk leo simuelewi!
Hivi kwa hadhi yake angeshindwa kuishi nchi yyt kweli?
Ss kwann alifanya yale akiwa Tz ? Mbaya zaidi hali halisi alikuwa anaijua?Alikuwa na hadhi kubwa sana, kwa level yake anaishi popote duniani maana hakuwa na kosa la kijinai wala la kimataifa la kusema kwamba wangemdepot
Anayeweza yale ni Tundu Lissu tu kwa kuwa ana Neema ya Mwenyezi Mungu, sisi wengine wenye makando kand9 huwezi kutoboa roundSs kwann alifanya yale akiwa Tz ? Mbaya zaidi hali halisi alikuwa anaijua?
Duh