PostGE2025 Askofu Gwajima ni kiboko, kawapiga chenga sasa wameomba poooh

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
It was not for free.. Money talk..!
 
Chawa hawawezi kumkamata chawa mwenzao kama gwajima tapeli la kunuka
 
Hivi wakisema Lissu nae awe out now, set him free itakuaje? huenda wakapunguza mizuka ya ma gen z. Wamuachie na Lissu akafanye shughuli zake za siasa na chama chake cha CHADEMA. Si ndio maridhiano yenyewe yanakotakiwa kupita na huko? Huko ndiko kwenyewe hasa to the maxmum let Lissu free. pengine huu upepo mkali unaovuma utapungua kasi yake katika siasa za nchi hii kwa wakati huu
 
MFUMO ZAIDI YA JK ni nani mwingine ?
 
ningekuwa mimi lisu ningemwachia halafu njiani natengenezea ajali mbaya na kumwua kwa sumu ana kelele sana, yeye na heche
 
mnawewesuka bure na wale wajuba, kina Lissu na Heche siasa zao na chama chao wameishapitwa na wakati kwa sasa hawana ushawishi kwa vijana. Vijana wameamua kufanya mageuzi yao wenyewe bila kutegemea chama cha siasa kiwapambanie kuleta reforms
 
Mwenyezi Mungu akujalie upate ajali mbaya. Amiin
 
Polisisiemu wamemuabia vitu vyake na pesa kwenye shelf pale kanisani walipokuwa wanalinda jumla ya thamni zaidi ya bilioni 2 na ushee.
 
Lissu akiwa out ataendelea alipo ishia lazima waogope
 
mnawewesuka bure na wale wajuba, kina Lissu na Heche siasa zao na chama chao wameishapitwa na wakati kwa sasa hawana ushawishi kwa vijana. Vijana wameamua kufanya mageuzi yao wenyewe bila kutegemea chama cha siasa kiwapambanie kuleta reforms
Kama wangekuwa hawana ushawish serikal isinge hangaika kuwapa kesi, kuwakama hovyo kuwasingizia wao ndio chanzo cha maandamano
 
Kiburi sana... sikuhizi kawa nunda jambazi sugu
 
mnawewesuka bure na wale wajuba, kina Lissu na Heche siasa zao na chama chao wameishapitwa na wakati kwa sasa hawana ushawishi kwa vijana. Vijana wameamua kufanya mageuzi yao wenyewe bila kutegemea chama cha siasa kiwapambanie kuleta reforms

Wasingekua wanahangaika kuwakamata day n night.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…