PostGE2025 Askofu Gwajima ni kiboko, kawapiga chenga sasa wameomba poooh

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Sina ninalojua mipango yao, akijitokeza tu nitakuwa na mashaka na gwajima huenda akawa ni mwanamikakati mjuba yule!
 
huu ndo ukweli na hali halisi iliyopo mitaani. OVER
 
Lisu hana ushawishi wowote kwa gen z hata wakimnunua ni kazi bure
 
Lisu hana ushawishi wowote kwa gen z hata wakimnunua ni kazi bure
ni kweli kwa sasa Lissu hana ushawishi kwa gen z, wamuachie tu huyo mjuba hana madhara tena kwao. Gen Z wameamua kukata mbunga kivyao bila kutegemea chama cha upinzani
 
Kuna saa location ilionyesha mwamba yuko kizmkazi
 
Policcm wanachoweza ni kuua na kuiba tu.

Pale kanisani kwake wameiba hadi meza.
 

Aiseeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…