JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Kauli za Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima "Mimi niko thabiti kwenye mambo ya Ubunge wangu, sikuwa Mbunge ili niuze sura na sikuwa Mbunge ili ‘nidundulize’, lengo langu ni kusaidia watu, nikishindwa basi bora niache.
"Jimbo la Kawe tuna bahari na takribani Kata 4 zipo baharini, maana yaka ya Msasani, Kawe, Kunduchi na Bunju iko baharini.
"Mawazo yangu ni tunaweza kucheza michezo ya baharini basi itumike kuingiza kipato, iwe ajira na afya kwa watu.
"Nimeishi Japan, nimetembea kila sehemu Japan ni visiwa wanatumia maji vizuri kwa michezo, ajira, afya na wanajenga uchumi.
"Natafuta sana kumkaribisha Waziri wa Uvuvi ili tupange namna ya kupanga revolution ya kuitumia bahari kwa michezo."
Chanzo: Mahojiano na Jahazi ya Clouds FM