DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Uzi ufungwe kabla (wanaojipendekeza) kufika hapa
Ameanza kupiga kotekote
Iyena iyena iyena iyena ccm nambali.one ehehehehehe
Huyu mzee atakuwa mtu wa system, mpango unaanza kusukwaMwijaku
Silaha kubwa maishani ni kujisimaimia mwenyewe, sio kujipendekeza , naungana na kauli hii
We ni churaMimi si mwana SISIEM Wala mwana CHADEMA Mimi ni chama kinachojitegemea ndiyo maana naangalia mtu Wala siyo chama kama wengi wenu mnavyofanya.
Mama sa100 na Lissu hawatufai.
Naunga mkono hoja ππMimi si mwana SISIEM Wala mwana CHADEMA Mimi ni chama kinachojitegemea ndiyo maana naangalia mtu Wala siyo chama kama wengi wenu mnavyofanya.
Mama sa100 na Lissu hawatufai.
Utasikia mama atakupindua huyu, usicheke na nyaniπ π πMimi si mwana SISIEM Wala mwana CHADEMA Mimi ni chama kinachojitegemea ndiyo maana naangalia mtu Wala siyo chama kama wengi wenu mnavyofanya.
Mama sa100 na Lissu hawatufai.
π π πWakati huo huyu jamaa alipokuwa na akili kabla CCM haijasambaratisha akili yake.
Mi ni chama Cha mtu mmoja, huwa siwaelewi watawala.We ni chura
Tanzania bora isiwe na kiongozi, watu wajiongoze wenyewe aise.Utasikia mama atakupindua huyu, usicheke na nyaniπ π π
Kweli aisee maana wanaoitwa viongozi ndio chanzo cha migogoro na umaskiniTanzania bora isiwe na kiongozi, watu wajiongoze wenyewe aise.