secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
SISIEM na wapinzani wote wote hawana msaada kabisa. Wakipata cheo wanawasahau waliowachagua.Kweli aisee maana wanaoitwa viongozi ndio chanzo cha migogoro na umaskini
Kabisa mkuuWote ni waganga njaa tu.
Nyambaf!
Hebu watuache bana tupambane na maishaKabisa mkuu
maCCM bana, kumbe yakiwa sirini huwa yanajua dhambi zao!
Sijakusiki vizuri chawa , unasema wewe ni kunguni au ?Mi ni chama Cha mtu mmoja, huwa siwaelewi watawala.
Hahaha, mkuu shughuli ya uchawa siiwezi. Nawaachia nyinyi mlioisomea.Sijakusiki vizuri chawa , unasema wewe ni kunguni au ?
Chawa wote Mungu awachukue taifa lipone
OK chawa churaHahaha, mkuu shughuli ya uchawa siiwezi. Nawaachia nyinyi mlioisomea.
Wapinzani na watawala wote ni wale wale hivyo kudadeki zao.
Sasa mayowe ya niniMimi si mwana SISIEM Wala mwana CHADEMA Mimi ni chama kinachojitegemea ndiyo maana naangalia mtu Wala siyo chama kama wengi wenu mnavyofanya.
Mama sa100 na Lissu hawatufai.
Rungwe ANATUFAA🙏Mimi si mwana SISIEM Wala mwana CHADEMA Mimi ni chama kinachojitegemea ndiyo maana naangalia mtu Wala siyo chama kama wengi wenu mnavyofanya.
Mama sa100 na Lissu hawatufai.
We endelea tu kinipaka matope.OK chawa chura
Chezea wali wa bure weye!Rungwe ANATUFAA🙏
naam naam!Chezea wali wa bure weye!
Spunda Rungwe ndiye.
Yule Mzee Nampa kura za ndiyo!naam naam!