#COVID19 Askofu Gwajima tuchambulie kama sumu ya nyoka 'Jararacussu’ inaweza kupambana na virusi vya COVID-19

#COVID19 Askofu Gwajima tuchambulie kama sumu ya nyoka 'Jararacussu’ inaweza kupambana na virusi vya COVID-19

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Askofu Gwajima kwanza usife moyo kwa wewe kusimamishwa kuingia bungeni, binafsi naamini Mungu wa mbinguni anataka kukutumia kwa kazi kubwa zaidi.

Ni wazi dunia haijapata jawabu ndio maana kuingia Mecca kwa hija kuna chanjo maalumu zinazokubalika siyo zote.

Sasa kuna taarifa mpya kuwa sumu ya nyoka mkali aina ya Jararacussi imegundulika kuwa na uwezo wa kupambana na virusi vya covid 19.

Katika hili unasemaje askofu Gwajima hasa tukikumbuka yaliyotokea bustani ya Eden na pia taswira ya nembo ya WHO na Hospitali ya Muhimbili zenye michoro ya nyoka

Sauli aliwatesa wakristo lakini Injili ilimbadilisha na akaitwa Paulo.

Watakuelewa huko mbele ya safari.
 
Back
Top Bottom