Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Mama yake aliwahi kutekwa?Watu wameanza kutekwa na kuuliwa zamani-Jerry Muro.
"Mfano huyu kibao, Unajisikiaje kama baba yako anashushwa kwenye gari halafu anakutwa amekufa"
"Kuna huyu Mdude, kama mume wako anakuja kuchukuliwa nyumbani halafu mpaka leo haonekani, unajisikiaje"
Hizi ni nukuu ya baadhi ya maneno ya Askofu Gwajima. Niwaulize wote mnaopinga alichokisema Gwajima, mtajisikiaje? Jaribuni kuvaa viatu hivyo kabla ya kuzungumza.
Nimejiuliza sana kosa la Gwajima ni nini! Amekosea Kukemea utekaji na kutoa ushauri? Nyinyi mnatakaje? Utekaji uendelee kushamiri?
Kwa hivyo tukae kimnya na insha'Allah kwa uwezo wa Mungu Kesho atekwe mwanao au mkeo ndipo utapojuwa jinsi familia wa waliotekwa na kutoweka wanavyopitia.Watu wameanza kutekwa na kuuliwa zamani-Jerry Muro.
Swali zuri sana.Mama yake aliwahi kutekwa?
una maana gani?Onyo JF hipo chini utwala sasa
Hajakosea kuandika huyo muelewe tu vizuri.una maana gani?
Mwalimu na nguli wetu Kiranga anaita hoja ya chawa Jerry Muro ni WhataboutismWatu wameanza kutekwa na kuuliwa zamani-Jerry Muro.