Askofu Gwajima: Waafrika tumepitia taabu nyingi kuanzia Utumwa, ukoloni, magonjwa na umaskini tukashinda hata Corona haitatuweza

Kama kuna mungu anapigania watanzania basi huyo mungu hana nguvu kabisa inabidi waache kumuabudu maana Tanzania ni moja ya nchi choka mbaya duniani, watu hawana hela, ukimwi umejaa, wajinga wengi, yaani the majority ni njaa tu. Huyo mungu anayewapigania huyo ovyo kabisa.

Hua nacheka nikisikia mtu anasema mungu wetu ni mungu mwenye nguvu kuliko yeyote, na ni mwenye upendo kuliko yeyote, sasa ana upendo mwingi na nguvu alafu anawaacha mnakufa njaa, mnakufa kwa mafuriko, magonjwa, ni either hana upendo kama mnavyofikiri au kama anao basi hana nguvu kama mnavyofikiri hawezi zuia haya, angekua na vyote viwili basi haya yasingetokea, sasa chagueni moja, ana lipi? au hayupo kabisa? Huwezi kua mrefu na mfupi at the same time.
 
Gwajima amezungumza juu ya Mungu.

Huyo mungu unayemsema wewe ni kweli hana nguvu!
 
Gwajima amezungumza juu ya Mungu.

Huyo mungu unayemsema wewe ni kweli hana nguvu!

Uweke capital letters au small letters bongo itabaki na njaa ileile tu, huyo wa capital si awape chakula sasa? 😂
We kama una mtoto unampenda sana kuliko kitu kingine duniani na una uwezo wa kumlisha hadi siku anakufa utakaa unamuona anakufa njaa? huyo mungu wenu wa capital M naona ndo kitu anakifanya 😅amekaa anawacheki tu huku anauwezo wa kusnap kidole kama Thanos njaa ikafutika, Endeleeni kujidanganya
 
Kafilisika huyu
Hana jipya.
Zamani hizi za sayansi na teknologia plus utandawazi hazimhitaji mbashiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya!
 

Upuuzi mwingine hata sio wa kuusikiliza ,sisi tunatakiwa tumwombe Mungu aliondoe Jinamizi hili Duniani ....lakini sio kwa kuwa wa wabinafsi ...tunakinga gani dhidi ya janga hili...anayeseama hivo ameshiba ,hajui kuwa kuna watu leo asubuhi wamekunywa chai hawajui mchana /jioni watakula nini ...na Miongoni mwao wengine wakipata kfedha kidogo watampekea SADAKA JUMAPILI...! Afu hao watu wawe na nguvu ya kupambana na virusi vya KORONA AU UKIMWI! HUWA NAJIULIZA HUYU NI MUNGU GANI AMBAO WAPUMBAVU KAMA HUYU WANAMCHEZEA HIVI!
 
Mwanzo alisema Corona haitafika Tanzania, waumini wake wakamshangilia, leo anasema itapita, hope wakimsikia watamshangilia tena!.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaomfuata huyu kiimani nao pia ni misukule.
Kwa mujibu wa neno la Mungu alie hai achilia mbali huyu wa kufikirika ilikuwa mtu akitoa unabii kama alioutoa Gwajima na ukawa kinyume na alivyotamka kwa jina la Mungu ili walazimu wana jamii ya waaminio kuuondoa uvuovu ulio miongoni mwao kwa kumpiga huyo nabii muongo mawe hadi afe.
Sasa Gwajima kadanganya na kisha karudi kwa wale aliowadanganya kuwaongezea uongo mwingine juu ya ule wa kwanza.
Kama hawa wadanganywaji sii misukule ni nini basi kinawaondoa kwenye fahamu zao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gwajima ameongea na taifa kupitia Clouds tv!
 


Huyu dogo Gwajima ni mmoja wa wapotoshaji wakubwa sana hapa Tanzania, yeye na Zitto hawana tofauti sana. Sielewi mtu mwenye akili timamu anakaa na kumsikiliza huyu mtu na kuamini kila akisemacho.
 

Mtitiriko na mantiki yako imekaa vizuri na kwa kweli tupo gizani sana bado sisi

Afu sasa tunavyo mzungumzia huyo Mungu kama ni sisi tu Watanzania ndo tuna mmiliki na kujiona tuna ubora machoni pake na ataondosha majanga mengi kwetu wakati tunapigika kwa madhila mengi kila siku kama jamii

Ni muda wa watu kuamka na kujitambua kwamba hatima yetu ipo mikononi kwetu kama binaadam na siyo kwa huyo M aliekaa sijui juu anatuchora tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…