Askofu Gwajima: Waafrika tumepitia taabu nyingi kuanzia Utumwa, ukoloni, magonjwa na umaskini tukashinda hata Corona haitatuweza

Ili jukwaa kwasasa limebadirika sana...Si tena Jukwaa la Siasa
 
Ndugu zetu watatu tuliowazika kwa Corona wapo katika ushindi huu ?
 
tatizo lako umeongeza na maneno ya kizungu ambayo sijui umeyakopi wapo huko na kuyaleta hapa kiasi kwamba ladha yote ya ujumbe wako umepotea,mbali na uvivu wa watanzania ila kizungu kwetu mwiko hvyo siku nyingine usirudie ku paste kizungu,msitake tuongee sana haswa sisi tusiojua ung'eng'e

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanzo alisema Corona haitafika Tanzania, waumini wake wakamshangilia, leo anasema itapita, hope wakimsikia watamshangilia tena!.

Sent using Jamii Forums mobile app
alisema haitafika Tanzania lkn kwa imani hvyo hayo mengine tuiache imani yetu kwa bwana itende kazi,kauli ya mtumishi wa bwana ni kauli ya Mungu hvyo inavyompiga mtumishi ni kama umempinga Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nimekopi kutoka kwenye ukurasa wa cnbc
Maudhui ni kuonyesha wanavyosema kuwa Waafrika wa huko wanavyoathirika na ugonjwa wa korona
 
1.Gwajima alikuwa team lowasa kindakindani, akienda arusha kwa lowasa, alikuwa jangwani hapa dar na lowasa, alionbozana na lowasa kumpeleka CDM, lowasa alipopigwa chini, gwjima fasta akarudi kuunga jitihada, na sasa amefanikiwa kutuaminisha kuwa yeye ni CCM dam dam, hii ni kwa maslai yake

2.Watu wote waliodukuliwa sauti/video zao na system aj kwa uzembe walikiri kuwa ni wao, mvano membe, nape, makamba,nandy, amber ruti Lakini, gwajima pekee alikanusha video yake ya PILAU kuwa sio yeye, wameunganisha kichwa.

3.Gwajima aligeukana vibaya sana na rafiki yake kipenzi Dr. Wilbroad Peter Slaa, wakaanikana mpaka habari za chumbani.

4.Gwajima alisema atamfufua AMINA CHIFUPA, mpaka leo olaaa.

5. Gwajima alisema, Corona haitafika Afrika, ikipanda ndege, virus watakaukia kwenye ndege, leo tunacase around 32, na vifo kadhaa.

6. Gwajima amehusisha Covid- 19 na internet 5G, ilihali hakuna hata chembe ya connection, na akapigiwa makofi

KOSA NI LA GWAJIMA AU WATANZANIA WENZANGU,????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baelezee bwa shekhe! nikiwaambia ooh! nyarusare mchochezi! kama hawajui za wapiga hela waulize Uganda yaliyo tokea kwa Kibwetere tena basi wabongo tumemuimba sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…