#COVID19 Askofu Gwajima: Wanaccm wasichanjwe wote ili likitokea la kutokea 2025 wawepo masalia wa kuitetea CCM

#COVID19 Askofu Gwajima: Wanaccm wasichanjwe wote ili likitokea la kutokea 2025 wawepo masalia wa kuitetea CCM

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mbunge wa Kawe mh Askofu Josephat Gwajima amekishauri chama chake kiruhusu baadhi ya wanaccm wasichanje ili kama chanjo itakuwa na matokeo mabaya basi mwaka 2025 wawepo wanaccm wa kukitetea na kukiombea radhi chama kwa wananchi.

Askofu Gwajima ametoa ushauri huo kwa chama chake na wanachama wenzake akiwa katika kanisa analoliongoza la Ufufuo na Uzima ubungo mkoani Dar es salaam.

Mungu ni mwema wakati wote!
 
Mbunge wa Kawe mh Dr Josephat Gwajima amekishauri chama chake kiruhusu baadhi ya wanaccm wasichanje ili kama chanjo itakuwa na matokeo mabaya basi mwaka 2025 wawepo wanaccm wa kukitetea na kukiombea radhi chama kwa wananchi.

Dr Gwajima ametoa ushauri huo kwa chama chake na wanachama wenzake akiwa katika kanisa analoliongoza la Ufufuo na Uzima ubungo mkoani Dar es salaam.

Mungu ni mwema wakati wote!
Rashid anazidi kuipa wakati mgumu CCM
 
Bora ata uwaambie maana tunawapenda wapinzan wetu[emoji41]
 
Kama ningekuwa na uwezo kumshauri Mh Rais, ningemshauri hii chanjo ingeanzia kwa viongozi wote, wa kitaifa na kichama, ikifuatiwa na wabunge wote.
 
Angetakiwa atwambie kwanini chanjo zingine ni salama kuliko hii wskati zote ni za kigeni?
 
Back
Top Bottom