Askofu: Hakuna Utajiri wa Maombi

Askofu: Hakuna Utajiri wa Maombi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Habari Kamili ya hii taarifa ipo katika Ukurasa wa Tatu ( 3 ) wa Gazeti la MWANANCHI la leo.

Wewe haujawahi hata Kushika ( Kumiliki ) Tsh 50,000/= tu 24/7 Unafululiza kwenda Maombini kutaka Mungu akupe Utajiri.
 
Na wakati huohuo wewe msubilia utajili unaendelea kukamuliwa vialfu moja vyako huku ukitapeliwa na ushaidi wa uongo
 
Na wakati huohuo wewe msubilia utajili unaendelea kukamuliwa vialfu moja vyako huku ukitapeliwa na ushaidi wa uongo
Wamekusikia Mkuu na nawasubiri kweli hawa Wamumini wa Makanisa ya sasa ambao Wanadanganywa ila hawasikii tu.
 
Kuna mchungaji mmoja sijui atakoea nchi gani alikuwa anasema Africa ndio sehemu ambapo watu wana imani thabiti na kuomba sana lakini pia ndio sehemu inaongoza kwa umasikini
 
Hata Mungu alisema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa, neno la
Mungu liko wazi na linafundisha mambo yote ikiwemo kufanya kwa bidii. Tatizo waumini wengi hawasomi maandiko, wanatembea na maneno ya viongozi wao wa dini badala ya maneno ya Mungu, mwisho wa siku wanageuka mazuzu na hao watumishi.
Kuna mchungaji mmoja sijui atakoea nchi gani alikuwa anasema Africa ndio sehemu ambapo watu wana imani thabiti na kuomba sana lakini pia ndio sehemu inaongoza kwa umasikini
 
Back
Top Bottom