Askofu Josephat Gwajima unaliona anguko lako la kiroho? Kwanini umeamua kuichagua mauti badala ya uzima?

Ukishaelewa hakuna Mungu, na hizi zote ni siasa za watu tu, haya mengine hayatakushangaza.
 
Wewe ndo ulikuwa mjinga kama ulikuwa unamchukulia Gwajima kuwa ni kiongozi wa kiroho. Huyo ni TAPELI anayetumia dini kujipatia fedha. Hakuna kiongozi wa kiroho hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…