My daughter, unadhani ni lazima watanzania kusoma somo la sheria, kitu muhimu ni wao kujitambua. Hata wanasheria tunaosema wamebobea bado hawana jeuri ya kusimama na kuwasaidia au kuwashauri watanzania accordingly.
Kuna watanzania wana elimu ya darasani kwa kiwango hadi cha PhD lakini hawana uthubutu wa kusimamia haki zao, na ndio maana unaona watu wanakuja hapa kumshutumu kakaobe kwa sababu ya ujinga wao, wanadhani kakobe hajui anachokifanya.
Big up sana Askofu Kakobe, haki ya mtu haiombwi bali hudaiwa na kusimamiwa.