Askofu Kalikawe Bagonza: Uongozi na Uwanaharakati bahati mbaya unafunikwa na Propaganda za Kuelimishana

Sasa kushindwa kabisa kwenda shule na kwenda huko kwenye mitaaala ila sio bora kipi kina afadhali? Kumbuka hata Mkapa alianzia kusoma kwenye kibanda cha udongo.
Huwezi kufananisha kipindi walichosoma kina mkapa na sasa!! Na kumbuka Mkapa baadae alisoma shule binafsi za wamissionari zilizompa elimu bora iliyomwezesha kwenda kuwa lulu badae.

Mnachofanya CCM sasa ni kumkandamiza zaidi masikini kwa kumpa elimu ya hovyo, kwenye mazingira ya hovyo yasiyo na miundombinu na vifaa vya kutosha tena katika mitaala bomu ya elimu, huku watoto wenu wakisoma kwenye shule bora za private zinazofundisha kiingereza ili waje kuwashinda hao masikini kwenye interviews na kusurvive duniani huko mbeleni

CC@Molemo
 
Tabulalasa hilo haliwezi kuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio umejibu hoja zake au?!

Hebu tuondelee kelele zako hapa.
 
hapo angemsifia "yesu" wenu ungemmwagia sifa zote unazozijua...heshimuni mawazo ya wengine, haiwezekani watz woote tukapongeza tuu - wengine tunadhani mtu wenu hafai!.
 
hapo angemsifia "yesu" wenu ungemmwagia sifa zote unazozijua...heshimuni mawazo ya wengine, haiwezekani watz woote tukapongeza tuu - wengine tunadhani mtu wenu hafai!.
Na sisi tunasema Lisu ni mwanahakati kama alivyo Musiba tu
 
Hahahaa umechanganyikiwa.
 
Discuss content acha ku-attack personality
 
Wewe na yesu wako magu hamuwezi mpenda Bagonza! Hilo lipo wazi lete stori nyingine.
 
This guy is a genius!
 
IQ ya huyu askofu ni sawa na IQ za wagembea 260 hivi wa ccm kwa wakati mmoja. Ni kama alivyo Lissu, akisema neno moja tu maccm hata 400 watahangaika kumjibu pamoja . Tuliona hilo kwenye Bunge la katiba na hili lililopita na sasa kwenye uwanja wa siasa nje ya Bunge. Poleni ccm kwa kuzidiwa akili na vipaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…