Askofu Kalikawe Bagonza: Uongozi na Uwanaharakati bahati mbaya unafunikwa na Propaganda za Kuelimishana

Wapendao maarifa hujipatia ufahamu! Ukizoea kusifu na kuabudu binadamu mwezio, si rahisi kuelewa hekima hizi!
 
Maneno matupu,weka ushahidi wa hayo madudu yake,ukabila,majivuno,
 
Jenerali Ulimwengu - "Kijana lazima uwe una hoji"

 
Wanafikiri kijani kibichi wameumbukaje? Kuita wenzao wanaharakati.
 
Mkuu punguza munkhali,wewe umemsoma na kumkagua katika dakika tano ukajua ni mwovu?

Kwa hiyo wewe ulikuwa auditor wa kiroho au mali au vyote. Unafikiri ni maaskofu uchwara wa kujitangazia sifa pasipo kuwa na vigezo?

Au umeshindwa kuelewa kazi za askofu ni zipi?
Nikwambie kitu acha kutumika kishabiki kwa mambo ya kidunia.
 
Humjui Bagonza mkuu,!

Nenda Karagwe pale ndio utajua ni mtu wa aina gani,!
 
C
correct
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…