Elections 2010 Askofu Malasusa Naye Atoa Elimu ya Uraia: Chagueni mtu makini si chama

Mi sioni Haja ya malumbano haya. Tumefika Hapa tulipo Leo kwa sababu wapiga kura wa zamani hawakutaka kukiangusha chama. Chama kikabweteka kikaanza kusimamisha wagombea wa hovyo. Wakawa tena hawafuati utashi wa wapiga kura bali wanajipanga namna watakavyoshirikiana kula na kutupora.

Sasa kama mtu anatuonya kutokurudia makosa, tunaacha hoja ya msingi tunajadili udini na ukabila. Hivi 2005 wakritu wangekuwa na fikra hizo JK angeshinda kwa kishindo?
 
mungu akusamehe kwa upuuzi wako siku ya mwisho usichomwe na moto wa milele
maana hujui ulitendalo


Wewe nimmoja ya wale wanaofimbishwa macho makanisani, wasiotumia akili zao mwishowe manlawitiwa na wachungaji bila kujielewa, mnapopata fahmu ndio mnaaza kulalamika

Jibu kwa kutumia akili zako sio kuleta matusi
Mchungaji wako Slaa hanaumakini kwa sababu nilizotaja hapo juu, kwa hiyo jibu hoja sio vitisho vya moto kama mnavyotishiwa makanisani.

Na huyo mchungaji wako mwingine anaehubiria kondoo wake kuwa wachague sura sio sera za chama pia na nadhani alipitpiwa na gurudumu la kulawitiana.

Katika karne hii kote duniani wanachagua vyama kwa ubora wa sera sio uzuri wa sura. Hivi wewe na mchungaji wako manaishi dunia gani ???????
 
Nashindwa kuelewa kama umu ndani tunaleta maoni na hoja au matusi? Mtasababisha wanaJF wengine wakimbie Jamvi.
 
Mbona masheikh walishatoa au wanataka kurudia tena? warudie tu!!!!
 

NAUNGANA na Askofu Mokiwa 100% kuhusu wananchi kupokea pesa watazopewa na mafisadi lakini wasiwachague.

Katika hali ya umasikini uliokithiri miongoni mwa Watanzania hivi sasa sio rahisi wakakataa hizo fedha. Jambo la msingi hapa ni kuwaelimisha kwamba wazichukue kwa kuwa ni mali yao waliyoibiwa na hao hao mafisadi watoaji, wakielewa itafanikisha zaidi kuwang'oa hao mafisadi kuliko kuwazuia kabisa wakati wana njaa.

Mbinu hiyo aliitumia Dr Mwakyembe kule Kyela, wengi tulimlaumu kuwa anahamasisha rushwa, lakini matokeo yalikuwa chanya, watu walikula fedha lakini hawakuwachagua watoaji.

Tusijidanganye umasikini ni mkubwa mno miongoni mwa Watanzania, wengi hawawezi vumilia kuacha shilingi elfu tano anayopewa wakati nyumbani hakuna mlo.
 
ni mwinyi amemkumbatia askofu gani?........wote wanasema tumchague mtu makini na hawataji jina.............hivi unaakili za darasani au madrasani? maana kuna tofauti hapo
 

Ndivyo mlivyo CCM mkizidiwa hoja mnajificha kwenye pazia la udini,maaskofu walivyo sema enzi zile za 47 kuwa JK ni chaguo la Mungu mlikenua mijino leo mkielezwa ukweli kuwa lichama lenu limeoza mnaleta matusi ,hamna haya nyie!!!!!!!!!!!!
 

Nadhani anayefaa ni yule anayeacha jeshi na kwenda kwenye siasa😛eace:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…