Pre GE2025 Askofu Malasusa: Sijalelewa kuwa Kinyume na Serikali, Sijalelewa kutoitii Serikali

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
malasusa jitu la hovyo kabisa bladidaken
malasusa ni hopeless guy. Eti sikulelewa kutofautiana na serikali, kama serikali haitendi haki? stupid of him!
 
Bagonza kachaguliwa na Papa na Papa ni mkubwa kuliko serikali.
Sasa kila mmoja uangalia yupi boss mkubwa.
Serikali haiwezi mfukuza wala kumzuia Bagonza
 
Askofu Malasusa, Kadinali Mstaafu Polycarp Pengo, Sheikh Alhad Mussa Salum na wengineo wengi; huwa hawafichi mahaba yai kwa chama cha Mapinduzi.

Kwa hiyo hakuna jipya hapo. Kitambo sana anafahamika yeye ni nani linapokuja suala lihusulo ccm na serikali yake.
 
Chadema mmekalia uanaharakati tu kwenye kila jambo.

Fanyeni siasa za kitaalam acheni kutegemea makanisa yawasemee.

Mmepwaya mno.
 
Reactions: Ame
Hawakushibana, washibane nini? Kama ni ukabila mbowe na Askofu Shao kwao kumoja. Bagonza is was a conman, nadhani wana ka agenda ka ushoga kama walivyokumbatiana siku ile madhabahuni na Tundu wakati wa campaign.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…