Hapana mkuu.Huyu ndio alikutana na mama juzi Tabora?
Siyo yeye.Huyu ndio alikutana na mama juzi Tabora?
Lakini hapo ameandika Rugambwa na sio Lugambwa mkuu!Hilo jina Lugambwa sikumbuki nilisikia wapi, au namfananisha na John Msambwa na ndugu yake John Chilembwe kwenye historia...
Utakua umechanganya huyu ni Rugambwa siyo LugambwaHilo jina Lugambwa sikumbuki nilisikia wapi, au namfananisha na John Msambwa na ndugu yake John Chilembwe kwenye historia...
Mazee yule Cardinal Rugambwa wa Tabora akiiona hii komenti yako atashangaa sana🤣🤣.Dah! Rest in peace Balozi wa Papa na pia Mtanzania Mwenzetu Askofu Mkuu Novatus Rugambwa. Hakika familia yenu ni ya kipekee kwenye Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume.
Kuanzia Kardinali wa kwanza Afrika na Tanzania marehemu Laurent Rugambwa; Askofu Mkuu na Balozi wa Papa marehemu Mhashamu Novatus Rugambwa; na Kardinali Protas Rugambwa, ambaye pia ni Askofu Mkuu wa Jimbo kuu la Tabora! Ni baraka ya aina gani hii!
Mkuu, hakuna jina la ukoo kwenye hili kabila. Mtu anaweza kuwa ukoo wa Abasaizi, akaitwa Rugambwa na mwingine akawa ukoo wa Abashamura akaitwa Rugambwa na mwingine akawa ukoo wa Abalwani akaitwa jina hilohilo.Dah! Rest in peace Balozi wa Papa na pia Mtanzania Mwenzetu Askofu Mkuu Novatus Rugambwa. Hakika familia yenu ni ya kipekee kwenye Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume.
Kuanzia Kardinali wa kwanza Afrika na Tanzania marehemu Laurent Rugambwa; Askofu Mkuu na Balozi wa Papa marehemu Mhashamu Novatus Rugambwa; na Kardinali Protas Rugambwa, ambaye pia ni Askofu Mkuu wa Jimbo kuu la Tabora! Ni baraka ya aina gani hii!
Hawa ni familia moja?Dah! Rest in peace Balozi wa Papa na pia Mtanzania Mwenzetu Askofu Mkuu Novatus Rugambwa. Hakika familia yenu ni ya kipekee kwenye Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume.
Kuanzia Kardinali wa kwanza Afrika na Tanzania marehemu Laurent Rugambwa; Askofu Mkuu na Balozi wa Papa marehemu Mhashamu Novatus Rugambwa; na Kardinali Protas Rugambwa, ambaye pia ni Askofu Mkuu wa Jimbo kuu la Tabora! Ni baraka ya aina gani hii!
Ninachofahamu hawa ni watu wa familia moja. Ila nipo tayari kukosolewa kama ni majina tu ndiyo yamefanana!Hawa ni familia moja?
Ni familia ya kipekee sanaa..mtu asiye kua na nidhamu huwezi kuruka viunzi na kuweza kupata daraja la upadrii..Dah! Rest in peace Balozi wa Papa na pia Mtanzania Mwenzetu Askofu Mkuu Novatus Rugambwa. Hakika familia yenu ni ya kipekee kwenye Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume.