TOKA MAKTABA :Anazikwa wapi
OK kama ni familia moja basi imebarikiwaNinachofahamu hawa ni watu wa familia moja. Ila nipo tayari kukosolewa kama ni majina tu ndiyo yamefanana!
Kuna kardinali Rugambwa mwingine mzee zaidi kwa huyu ila amekwisha fariki.Hilo jina Rugambwa sikumbuki nilisikia wapi, au namfananisha na John Msambwa na ndugu yake John Chilembwe kwenye historia...
Majina ya kihayaHilo jina Rugambwa sikumbuki nilisikia wapi, au namfananisha na John Msambwa na ndugu yake John Chilembwe kwenye historia...
Hayati Askofu Mkuu Novatus Rugambwa alizaliwa Oktoba 08, 1957 Mkoani Kagera nchini Tanzania, aliwekwa wakfu katika Daraja Takatifu ya Upadre Julai 06, 1986 na Mhashamu Nestorius Timanywa, aliyekuwa Askofu wa Jimbo Katoliki Bukoba, March 18, 2010 aliwekwa wakfu katika Daraja Takatifu ya Uaskofu na Askofu Mkuu Tarcisio Pietro Evasio Kardinal Bertone, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Vatican.
Wanafunzi wote wangekuwa wanaishi maisha kama wanayoishi Waseminary wa Katoliki wanaosomea Upadre, aisee wangekuwa mbali sana kimasomo.Ni familia ya kipekee sanaa..mtu asiye kua na nidhamu huwezi kuruka viunzi na kuweza kupata daraja la upadrii..
Binafsi Mimi sina nidhamu ya kutoboa kusoma seminary ambapo rafiki yangu alifukuzwa pale MULUTUNGURU SEMINARY kisa alikutwa ziwani akipunga upepo muda ambao alitakiwa awepo darasani..
Ila familia ikiwa na wito wa ki padre mwisho wake inaweza ku extinct
Hapana ni majina tuHuyu ndio alikutana na mama juzi Tabora?
BukobaAnazikwa wapi
Hapana ni majina tu yamefanana..Hawa ni familia moja?
Umeandika vyema sana usipo KUA na nidhamu.. hata wiki moja ni kubwa MNO.Wanafunzi wote wangekuwa wanaishi maisha kama wanayoishi Waseminary wa Katoliki wanaosomea Upadre, aisee wangekuwa mbali sana kimasomo.
1. Sala/Kusali (siyo chini ya mara 5 kwa siku)
2. Kusoma (lazima uwe juu ya wastani 50+), lugha ya Kiingereza kama kawaida/debate za kutosha! Presentations kila siku!
3. Kazi (kila siku mchana walau saa 1, na Jumamosi mpaka saa sita mchana)
4. Michezo (kila siku mchana, na mechi Jumapili baada ya chakula cha mchana)
5. Kujali muda/kuwepo mahali sahihi na wakati sahihi. Hakuna kengele seminarini.
6. Nidhamu ya hali ya juu (mpaka kwenye kula mnatakiwa ku observe table manner, ukipita nje ya majengo yao kamwe huwezi kufikiri kama kuna watu wapo ndani)
7. Usafi wa mwili na mazingira
Binafsi najiona ni mtu mwenye bahati sana kusoma shule ya Seminary ya Katoliki. Hakika nilivuna mambo mengi mazuri. Ni vile tu sikuwa na wito wa Upadre! Mimi kwa kweli nisingeweza kuishi maisha ya useja! Na pia sikupenda kuishi maisha ya uongo na unafiki.
Hawana undugu Wala ukoo Kwa namna yoyoteDah! Rest in peace Balozi wa Papa na pia Mtanzania Mwenzetu Askofu Mkuu Novatus Rugambwa. Hakika familia yenu ni ya kipekee kwenye Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume.
Kuanzia Kardinali wa kwanza Afrika na Tanzania marehemu Laurent Rugambwa; Askofu Mkuu na Balozi wa Papa marehemu Mhashamu Novatus Rugambwa; na Kardinali Protas Rugambwa, ambaye pia ni Askofu Mkuu wa Jimbo kuu la Tabora! Ni baraka ya aina gani hii!
😀😀 sawa kakaHapana ni majina tu yamefanana..
Kama unavyoona masanja usukumani walivyowengi
Ile Novena ndo inafanya yake nini!?View attachment 3473947
Aliyekuwa Balozi wa Baba Mtakatifu nchi mbalimbali duniani Mtanzania Askofu Mkuu Novatus Rugambwa amefariki dunia usiku wa Septemba 16, 2025 huko Roma nchini Italia.
Hayati Askofu Mkuu Novatus Rugambwa alizaliwa Oktoba 08, 1957 Mkoani Kagera nchini Tanzania, aliwekwa wakfu katika Daraja Takatifu ya Upadre Julai 06, 1986 na Mhashamu Nestorius Timanywa, aliyekuwa Askofu wa Jimbo Katoliki Bukoba, March 18, 2010 aliwekwa wakfu katika Daraja Takatifu ya Uaskofu na Askofu Mkuu Tarcisio Pietro Evasio Kardinal Bertone, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Vatican.
Amehudumu katika nchi mbalimbali kwa nafasi ya Balozi wa Baba Mtakatifu nchi hizo ni kama vile Angola, Honduras, Visiwa vya Fiji.
Chanzo: Radio Maria
hapanaHuyu ndio alikutana na mama juzi Tabora?
Bro kuna kitu kinanishangaza sana mtu akisoma seminary halafu akapata wito wa ki padre akatoka akija mtaani ha cope vizuri na maisha ya uraiani.Kwa sheria kama hizo asome miaka yote hiyo aingie u padre atoke lazima atakuwa tofauti.Wanafunzi wote wangekuwa wanaishi maisha kama wanayoishi Waseminary wa Katoliki wanaosomea Upadre, aisee wangekuwa mbali sana kimasomo.
1. Sala/Kusali (siyo chini ya mara 5 kwa siku)
2. Kusoma (lazima uwe juu ya wastani 50+), lugha ya Kiingereza kama kawaida/debate za kutosha! Presentations kila siku!
3. Kazi (kila siku mchana walau saa 1, na Jumamosi mpaka saa sita mchana)
4. Michezo (kila siku mchana, na mechi Jumapili baada ya chakula cha mchana)
5. Kujali muda/kuwepo mahali sahihi na wakati sahihi. Hakuna kengele seminarini.
6. Nidhamu ya hali ya juu (mpaka kwenye kula mnatakiwa ku observe table manner, ukipita nje ya majengo yao kamwe huwezi kufikiri kama kuna watu wapo ndani)
7. Usafi wa mwili na mazingira
Binafsi najiona ni mtu mwenye bahati sana kusoma shule ya Seminary ya Katoliki. Hakika nilivuna mambo mengi mazuri. Ni vile tu sikuwa na wito wa Upadre! Mimi kwa kweli nisingeweza kuishi maisha ya useja! Na pia sikupenda kuishi maisha ya uongo na unafiki.
Ofcourse wengi wanaotoka huko kwa kuchelewa (na hasa wanaofika mpaka Semiray kuu) halafu wakarudi mtaani, huwa wanakuwa kama mazoba hivi. Maana seminarini hakuna kuchangamana sana, na hasa na jinsia ya kike. NB:- Siyo wote!Bro kuna kitu kinanishangaza sana mtu akisoma seminary halafu akapata wito wa ki padre akatoka akija mtaani ha cope vizuri na maisha ya uraiani.Kwa sheria kama hizo asome miaka yote hiyo aingie u padre atoke lazima atakuwa tofauti.
Nina ushahidi wa watu kadhaa wa kadhaa wewe una bahati ulijichomoa mapema kabla hujaingia kule kenye u padre.