NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,868
- 5,164
nasikia kuvuta hata sigara unafukuzwa ni kweli?Ofcourse wengi wanaotoka huko kwa kuchelewa (na hasa wanaofika mpaka Semiray kuu) halafu wakarudi mtaani, huwa wanakuwa kama mazoba hivi. Maana seminarini hakuna kuchangamana sana, na hasa na jinsia ya kike. NB:- Siyo wote!
Ila ukitoka baada baada kumaliza form four, au six; bado unakuwa mjanja. Na ushahidi ni utitiri wa Majaji, Wanasheria, Mawakili, Wanasiasa mbalimbali, Viongozi mbalimbali wa vyama, serikali, na wataalam mbalimbali waliotapakaa ndani ya jamii yetu.
Ulimi hauna mfupa mkuu, ajari kazini...Lakini hapo ameandika Rugambwa na sio Lugambwa mkuu!
Haya ni maadili ya kawaida sana hata kwa shule za serikali za boarding! Pombe, sigara, mahusiano, simu (enzi zetu hazikuwepo), nk. Ni kati ya makosa ya mwanafunzi kufukuzwa shule.nasikia kuvuta hata sigara unafukuzwa ni kweli?
Au huyu ndo yule walitaka wampeleke Vatcan akawe Papa...?Kuna kardinali Rugambwa mwingine mzee zaidi kwa huyu ila amekwisha fariki.
Aliyekutana na na sa100 juzi juzi ni nani kama si huyu?.Hapana mkuu.
Huyu hakuwa na pigo hizo enzi za uhai wake