The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Kweli wewe ni fiati tena la msomali 😀Corona hamna!Hasituchanganye baba askofu.Mjini Kuna vumbi rejata zinachemka magari yanazima.
Tamko litakuja na vijembe kama ni hili!..sijui SERIKALI watakuwa na kauli gani baada ya tamko hili.
..hatukupaswa kuacha kuvaa barakoa, na kunawa mikono.
Rais ndie mkuu wa nchi na mkuu wa serikali. Kama yeye anapongeza watu kutokuvaa barakoa, wewe kwa akili zako ndogo kama za panya unaenlewa nini?Serikali haijamzuia mtu kuvaa Baraka au kunawa maji tiririka, kama unataka kuvuta hewa chafu uliyoitoa nje hilo lipo ndani ya uwezo wako...sisi wengine tunamtanguliza Mungu mbele!
Iwapo rais ambae ndie mkuu wa nchi anapongeza watu wasiovaa barakoa, anasema korona haipo, watu wengine watavaa barakoa kwa sababu gani kama mkuu wa nchi anasema korona haipo.KWANI KUNA MTU YOYOTE AU KIONGOZI YOYOTE ALIEZUIA WATU WASINAWE WA KUVAA BARAKOA??
Raisi yupi kapongeza watu wasivae barakoa?? Kama unamzungumzia JPM, kumbuka ndie alieshauli watu wavae barakoa hats za kushona, ndipo watu waliwwza kujipatia kipato kwa kushona barakoa kuachana na zile za wazungu zilizokuwa na garama ya hali ya juuu. Sasa watu wamekazana kwamba watu walizuiliwa kuchukua tahadhali juuu ya korona, nani kawazuia?? Huyu huyu raisi wetu magufuli, ndie aliengia madarakani na kukuta Tanzania nzima kipindupindu kimeshamili kila kona, kwa hekima na ubunifu wa raisi wetu, alipendekeza usafi ufanyike kila mahali kila jumamosi ya mwisho wa mweziii. Jeeee watu na we we ukiwemo bado wanamwitikio huo kwa moyo mumojaaa?? Sasa mnataka raisi afanye nini tena?Iwapo rais ambae ndie mkuu wa nchi anapongeza watu wasiovaa barakoa, anasema korona haipo, watu wengine watavaa barakoa kwa sababu gani kama mkuu wa nchi anasema korona haipo.
Wewe kwa akili zako finyu unafikiri tatizo liko wapi?
Imeandikwa "Usimjaribu Bwana Mungu wako". Chukua tahadhari!Serikali haijamzuia mtu kuvaa Baraka au kunawa maji tiririka, kama unataka kuvuta hewa chafu uliyoitoa nje hilo lipo ndani ya uwezo wako...sisi wengine tunamtanguliza Mungu mbele!
Tukuulize weye.KWANI KUNA MTU YOYOTE AU KIONGOZI YOYOTE ALIEZUIA WATU WASINAWE WA KUVAA BARAKOA??
Hawajazuia kweli ila wamezuia kupashana habari utaishia pabaya. Unakumbuka yule dada sijui Malecela alisema sijui kuna ugonjwa gani akaishia kuondolea na kuhutumiwa kibaraka. Serikali ni wajibu wake kutoa miongozo kwa watu wake na kauli ya serikali ni nzito vinginevyo ni sawa na dereva uko makini barabarani lakini mwingine anavunja sheria tu anakugonga unakufa wewe makini lenye fujo linapona. Uwazi katika suala hili utatusaidia huko mbele ya safari lakini kama tumeamuwa kuishi kama kisiwa tuendelee tu huko mbele tutanyosheana vidole tu.KWANI KUNA MTU YOYOTE AU KIONGOZI YOYOTE ALIEZUIA WATU WASINAWE WA KUVAA BARAKOA??