Ukienda kufanya survey ya watanzania wanaoamini mungu high likely over 98% watakwambia yes.
Ukiwauliza watu hao-hao wangapi ni regular religious practitioners most likely not more than 20% from the population attend church and mosque on prayer days.
Quit with this nonsense watanzania walio wengi couldn’t careless Sheikh, Padre au Mchungaji; anaweza washauri fikra zao za siasa.
Huu upuuzi wa kuwapa hawa watu wa dini ni mataahira wa JF tu ndio mnawapa hao watu wa dini umuhimu.
Uhitaji mtu wa dini kumuona Samia hovyo au la; we are reasonable people.
Samia hafai kama yeye sio kwa sababu ya dini yake au kwa ushauri wa mtu wa dini yoyote; she is just shallow as a president.