The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Kwa wenye uelewa tulikuelwa vizuri kwamba kanisa linaunga mkono uwekezaji, lakini huku nyuma umesahau kwamba kuna akina kitenge na mwijaku wanaopindisha manaeno, sasa unalishwa maneno kwamba kanisa linaunga mkono mkataba wa bandari jambo amabalo siyo kweli.
Ulisema kuna mapendekezo mlimpa raisi ayafanyie kazi, kwa ukubwa wa taasisi yako, waweke wazi waumini wako ni mambo gani hayo amabayo kama KKKT inapendekeza yafanyiwe kazi kwa masLahi ya taifa letu, saivi waumi hawelewi mnaunga Mkono mkataba wa bandari au mnakataa Maana wapotoshaji ni wengi sana. Kuna gazeti la Raia Mwema nimeona limeandika kwamba uliuma na kupuliza manake watu umetuacha kwenye mataa
NI hayo tu.